Najisikia vibaya kutembea na mke wa mtu

Najisikia vibaya kutembea na mke wa mtu

sam green

Senior Member
Joined
Feb 21, 2020
Posts
184
Reaction score
274
Wadau natumaini nyinyi ni wazima wa afya, leo nimeleta hili suala baada ya kuona nimekosea mwanaume mwenzangu pakubwa sana.

Mimi ni kijana, sasahivi nina miaka 23 tu katika maisha yangu sijawahi fikiria kuja kutembea na mke wa mtu, niliapa siwezi kamwe maana inakuwa siyo vizuri kufanya jambo hilo.

Lakini kuna bi dada mmoja hakika sijui ilikuwaje aisee, nikajikuta nimenasa kwa penzi lake, ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja sasahivi.

Dada mzuri, mrembo amejaaliwa, nikajikuta namvutia uzi chap bila kujali kama ana mume. Nikikaza kamba mwisho wa siku akanielewa, na siku hiyo ya kumnyandua, aliniita kwake nyumbani wakati mume amesafiri.

Nikala tunda mpaka asubuhi, niliwahi sana kuamka siku hiyo. Saa kumi usiku nikatoka maeneo yale, sasa baada ya kumaliza tendo lile hakika nilijisikia vibaya sana kwa kufanya vile.

1. Nimemla mke wa mtu ni mtamu sana lakini namkosea mwanaume wake, maana amekaa huko kupambana ili mke na mtoto wale, halafu mimi ndiyo nipo kuwala, siyo jambo jema.

2. Nimeona kama nahatarisha maisha yangu maana mapenzi ni ya maficho, sana.

NB: Vijana wenzangu tuache kutembea na wake za watu ni dhambi kubwa sana mbele ya Mungu. Sijapenda, sina amani kabisa ndani ya moyo wangu, naumia kwanini nimefanya hivi.

Na bi dada sasahivi ameniganda turudie tena eti amenimis, nawaza hivi hauwezi kuwa mtego kweli nikanaswa, sina majibu. mimi ninafanya shughuli flan, bi dada akija asiponikuta basi hataki mtu amuhudumie mpaka mimi nimpe huduma.

Mapenzi ni siri kubwa sana baina ya watu wawili.
 
Piga pussy hiyo ww, ht mkeo atakuja kuliwa tuu na jamaa hataona amekukosea.
 
Wadau natumaini nyinyi ni wazima wa afya, leo nimeleta hili suala baada ya kuona nimekosea mwanaume mwenzangu pakubwa sana.
ponikuta basi hataki mtu amuhudumie mpaka mimi nimpe huduma.

Mapenzi ni siri kubwa sana baina ya watu wawili.
Kijan wee Ni mdg San umeanza uzinz mapema sna miak 23 unatembea na wake za watu una hatari sna mim nimeanza kuwala nikiwa above 35 so Nina mla Ni mtu mzima haswa.

Acha Mara moja subiri ukue

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna jipya la kushangaza ila kama nafsi inakukataza isikilize.

Ubongo wako hauna uzoefu wa kudeal na hayo mambo, ukikosea utakuja kukamatwa.
 
Wadau natumaini nyinyi ni wazima wa afya, leo nimeleta hili suala baada ya kuona nimekosea mwanaume mwenzangu pakubwa sana.

Mimi ni kijana, sasahivi nina miaka 23 tu katika maisha yangu sijawahi fikiria kuja kutembea na mke wa mtu, niliapa siwezi kamwe maana inakuwa siyo vizuri kufanya jambo hilo.

Lakini kuna bi dada mmoja hakika sijui ilikuwaje aisee, nikajikuta nimenasa kwa penzi lake, ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja sasahivi.

Dada mzuri, mrembo amejaaliwa, nikajikuta namvutia uzi chap bila kujali kama ana mume. Nikikaza kamba mwisho wa siku akanielewa, na siku hiyo ya kumnyandua, aliniita kwake nyumbani wakati mume amesafiri.

Nikala tunda mpaka asubuhi, niliwahi sana kuamka siku hiyo. Saa kumi usiku nikatoka maeneo yale, sasa baada ya kumaliza tendo lile hakika nilijisikia vibaya sana kwa kufanya vile.

1. Nimemla mke wa mtu ni mtamu sana lakini namkosea mwanaume wake, maana amekaa huko kupambana ili mke na mtoto wale, halafu mimi ndiyo nipo kuwala, siyo jambo jema.

2. Nimeona kama nahatarisha maisha yangu maana mapenzi ni ya maficho, sana.

NB: Vijana wenzangu tuache kutembea na wake za watu ni dhambi kubwa sana mbele ya Mungu. Sijapenda, sina amani kabisa ndani ya moyo wangu, naumia kwanini nimefanya hivi.

Na bi dada sasahivi ameniganda turudie tena eti amenimis, nawaza hivi hauwezi kuwa mtego kweli nikanaswa, sina majibu. mimi ninafanya shughuli flan, bi dada akija asiponikuta basi hataki mtu amuhudumie mpaka mimi nimpe huduma.

Mapenzi ni siri kubwa sana baina ya watu wawili.
an idle mind..
 
Dogo kama huyo mwanamke ni wa moja ya wilaya za mkoa wa lindi nakuhurumia. Maana hii stori ina match na issue moja imebumbuluka huku. Kama upo sehem niligoitaja njoo inbox nikufafanulie na jinsi gani unaweza kujinasua ila kama sio mkoa wa lindi basi kua makini.
 
Bado hujafikia hatua ya kutoa ushauri wewe kinachokusumbua ni nafsi kukusuta na mchecheto ila akikitumia message tu unaenda tena kuitafuna.

Upo katika hatua za mwanzo kabisa na kuna 90% ya kurudia hiyo mbususu.
 
Kumbuka pia kutembea na KY,kwani ipo siku itakusaidia nami nipo pale nimekaa nasubiria siku ifike ndio utajua umuhimu wa KY
 
Bado hujafikia hatua ya kutoa ushauri wewe kinachokusumbua ni nafsi kukusuta na mchecheto ila akikitumia message tu unaenda tena kuitafuna.

Upo katika hatua za mwanzo kabisa na kuna 90% ya kurudia hiyo mbususu.
Haaaa
 
Back
Top Bottom