JustusAugust
Member
- Oct 5, 2019
- 18
- 20
Asante sana Rebeca.Karibu mkuu umespecialize kwenye nini?
Asante sana Rebeca.
Applied Psychology (Saikolojia ya Jamii, Tabia, Malezi na Makuzi, Mahusiano, Hisia, Elimu n.k
Kwa sasa nafundisha Saikolojia (IBDP) Aga Khan Education Service Tanzania
Swali lako thoughπ π π ! Applied Psychology ni tofauti na basic psychology. Na huu ndiyo mwanzo wa vitu wenyewe...Social, personality, developmental educational, how come you are specialised in every thing?? π³π³... anyway karibu mkuu tuletee vitu ππππ mimi nishaku follow πππβΊβΊβΊ
Well, swali lako la mwisho linajibu la mwanzo.mtu aliyespecialize kwenye Education, labda kasoma basics and Then specialised branch of education ana tofauti gani na huyo aliesoma Applied?? Au Applied badala ya kuspecialize kwenye kimoja unachukua vyote??
Huko sasa... nadhani hadi unafahamu unachopanga... ninaweza kusema fikiria tena. Kulimbikiza visasi, kushindwa kisamehe au kumbukumbu za maumivu/mateso ya siku za nyuma hupelekea hali hiyo.Sisi wenye mipango ya kuja kusababisha maafa na matatizo hapo miaka ya hapo mbele unatuweka kundi gani, hasa mimi. Tatizo kisaikolojia inaweza kuwa nini.
FB HIZO MUZEE.......Salaam
Naitwa Justus August
Mtaalam wa Saikolojia (applied psychology) View attachment 1225260naomba mnipokee