Najitambulisha kwenu

Najitambulisha kwenu

JustusAugust

Member
Joined
Oct 5, 2019
Posts
18
Reaction score
20
Salaam
Naitwa Justus August
Mtaalam wa Saikolojia (applied psychology)
IMG-20190921-WA0005.jpg
naomba mnipokee
 
Karibu mkuu umespecialize kwenye nini?
Asante sana Rebeca.
Applied Psychology. (Pia kwenye Saikolojia ya Jamii, Tabia, Malezi na Makuzi, Mahusiano, Hisia, Elimu n.k
Kwa sasa nafundisha Saikolojia (IBDP) Aga Khan Education Service Tanzania
 
Asante sana Rebeca.
Applied Psychology (Saikolojia ya Jamii, Tabia, Malezi na Makuzi, Mahusiano, Hisia, Elimu n.k
Kwa sasa nafundisha Saikolojia (IBDP) Aga Khan Education Service Tanzania

Social, personality, developmental educational, how come you are specialised in every thing?? 😳😳... anyway karibu mkuu tuletee vitu 😊😊😊😂 mimi nishaku follow 😊😊😊☺☺☺
 
Social, personality, developmental educational, how come you are specialised in every thing?? 😳😳... anyway karibu mkuu tuletee vitu 😊😊😊😂 mimi nishaku follow 😊😊😊☺☺☺
Swali lako though😅😅😅! Applied Psychology ni tofauti na basic psychology. Na huu ndiyo mwanzo wa vitu wenyewe...

Asante kwa yote.
 
JustusAugust,

mtu aliyespecialize kwenye Education, labda kasoma basics and Then specialised branch of education ana tofauti gani na huyo aliesoma Applied?? Au Applied badala ya kuspecialize kwenye kimoja unachukua vyote??
 
Karibu Sana mm tatizo langu napenda Sana wanawake wenye inye gwedegwede na single mother [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] je nimeathiriwa na na Nini Mana Kila nikitongoza nikizoom profile tu single mother ila inye inanikwamisha na ganda hapo hapo
 
mtu aliyespecialize kwenye Education, labda kasoma basics and Then specialised branch of education ana tofauti gani na huyo aliesoma Applied?? Au Applied badala ya kuspecialize kwenye kimoja unachukua vyote??
Well, swali lako la mwisho linajibu la mwanzo.
Kwenye applied we have: Clinical, Educational, Health, Forensic, Occupational; Sports na Industrial Psychology! Hizi hapa ukiziangalia kwa undani zinagusa sehemu kubwa ya maisha.
Kwenye basic: ni sasa mtu anachagua sehemu ndogo kwenye moja ya hizo za Applied ndicho anaendelea nacho kwa undani mfano: Neuropsychology, evolutionary psychology; personality psychology nk.
 
JustusAugust, Sisi wenye mipango ya kuja kusababisha maafa na matatizo hapo miaka ya hapo mbele unatuweka kundi gani, hasa mimi. Tatizo kisaikolojia inaweza kuwa nini.
 
abdi ally,
Kitu chochote si tatizo hadi pale mhusika atakiangalia kwa mtazamo wa kukiona ni tatizo. Hilo la kwako laweza pia lisiwe sehemu ya yale yanayoweza kuonenkana kama tatizo. But, kwa sababu umelileta kwangu yafaa tukae na kuongea ndipo naweza kuwa kwenye nafasi nzuri ya kukupatia mtazamo wa kisaikolojia ktk hilo.
 
Sisi wenye mipango ya kuja kusababisha maafa na matatizo hapo miaka ya hapo mbele unatuweka kundi gani, hasa mimi. Tatizo kisaikolojia inaweza kuwa nini.
Huko sasa... nadhani hadi unafahamu unachopanga... ninaweza kusema fikiria tena. Kulimbikiza visasi, kushindwa kisamehe au kumbukumbu za maumivu/mateso ya siku za nyuma hupelekea hali hiyo.
 
Kwanini picha yako umetumiwa kwa whatsapp?
 
Ingekua mdada kaeka picha hapa comment zingekua tayari 200

Anyway karibu sana mgeni
 
Back
Top Bottom