Najitambulisha

Najitambulisha

Dom2

Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
74
Reaction score
99
Fani yangu ni Mtaalamu wa Saikolojia katika masuala ya Ushauri Nasaha na Unasihi.

Pia nafundisha Lugha ya Kingereza na Kiswahili kwa Wageni.

Karibuni wote.

flag-800.jpg
 
Naomba kuuliza Hivi unaweza Kuwa Mwanasaikoloji bila Kusomea.
 
Unajitambulisha fani yako au unajitambulisha kwa kuwa wewe ni new member
Fani yangu ni Mtaalamu wa Saikolojia katika masuala ya Ushauri Nasaha na Unasihi.
Pia nafundisha Lugha ya Kingereza na Kiswahili kwa Wageni.
Karibuni wote.

Sent from my Infinix X682C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom