Najitoa kuişhabikia Yanga

Najitoa kuişhabikia Yanga

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Niheri kukoma k2enda kuishangilia Yanga kuliko kuendelea kushabikia timu inayoendeshwa kisiasa zaidi kuliko kiundindani. Timu lazima ibaki hivyohivyo ilivyokuwa miaka 80 iliyopita
 
Ni masaa 11 tangu upost.... Naona hakuna aliyekujibu.

By the way! Fanya hivi....

Hii klabu inawapenzi zaidi ya milioni 1 na hamsini... So ukitoka wewe wanabaki Milioni 1 na arobaini na tisa..

Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru kuwepo nasi na pia tunakutakia kila la kheri huko Stand United...
 
Yanga haihitaji washangiliaji mizigo fata bendera bali mashabiki na wanachama wapenzi wenye manufaa kwenye timu.
Wewe ni miongoni mwa watu mlioifanya Yanga ikaonekana timu ya kijinga kwani mlichangia mawazo ya kijinga
 
Watu wanawaza siasa tu kila wakati kwa kila kitu. Mpira ni furaha na furaha ni ushindi na ushindi ni maendeleo na mipango inayowezeshwa na fedha.
 
Yanga sio baba wala mama yangu. Inshallah kama hizi zikibakia hii iko siku wapenda furaha ya mpira kama mimi watakujaamua kama mimi muda si mwingi, hata vilabu vya mpira vya Ulaya vimefufuka upya baada ya kuuzwa kwa matajiri walioviendesha kibiashara. Hapa kwetu ni matawi ya wakereketwa kasoro bendera. Iko siku timu hizi zitakufa kama zilivyokufa shule za TAPA
 
Ni masaa 11 tangu upost.... Naona hakuna aliyekujibu.

By the way! Fanya hivi....

Hii klabu inawapenzi zaidi ya milioni 1 na hamsini... So ukitoka wewe wanabaki Milioni 1 na arobaini na tisa..

Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru kuwepo nasi na pia tunakutakia kila la kheri huko Stand United...
Hata wewe pia ujaa kiherehere si ungekaa kimya nawewe kuchangia uzi kama wenzio?
 
Watu wanawaza siasa tu kila wakati kwa kila kitu. Mpira ni furaha na furaha ni ushindi na ushindi ni maendeleo na mipango inayowezeshwa na fedha.
Una haki ya kulalanika........ Ila kusema unajitoa kuishabikia Yanga si kweli.. Vinginevyo haukuwahi kuwa shabiki wa Yanga.....

By the way.... Baada ya kujitoa Yanga utashabikia timu gani isiyo na siasa hapa bongo.... Usiniambie ni azam..
 
Hata wewe pia ujaa kiherehere si ungekaa kimya nawewe kuchangia uzi kama wenzio?
Sijui ni kiherehere kipi kilichokufanya ushabikie yanga yenye siasa...

Kipindi unaanza kuishabikia ulikuwa hujui kuwa ni klabu ya siasa...?

Kama hutaki siasa kashabikie Wazungu hukoooooo na klabu zao.
 
Una haki ya kulalanika........ Ila kusema unajitoa kuishabikia Yanga si kweli.. Vinginevyo haukuwahi kuwa shabiki wa Yanga.....

By the way.... Baada ya kujitoa Yanga utashabikia timu gani isiyo na siasa hapa bongo.... Usiniambie ni azam..
Ushabiki una manufaa kama utajitokeza kwenda uwanjani kuisapoti klabu kwenye mechi na kulipa ada za uanachama wa timu, sasa kama wanachama na mashabiki waliowengi wakisusa kwenda viwanjani na kuacha kul
 
Sijui ni kiherehere kipi kilichokufanya ushabikie yanga yenye siasa...

Kipindi unaanza kuishabikia ulikuwa hujui kuwa ni klabu ya siasa...?

Kama hutaki siasa kashabikie Wazungu hukoooooo na klabu zao.
Shule za wazazi zina hali gani? jiandaeni makada kwenda viwanjani, mashabiki na wanachama wamechoka kufa kwa pressure kila siku. wanahamishia hasira zao kwenye kung,oa viti visivyokuwa na hatia.
 
Back
Top Bottom