yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
hivi soka letu linaelekea wapi? Mnaona jinsi tfff wanavokurupuka kwa kufanya maamuzi ya kufurahisha hadhira! Huyu j.tegete amefungiwa miezi 6. Ni kweli alistahili adhab kwa kuingia uwanjani,ingawa aliingia kuwatuliza wenzie wasifanye vurugu.but adhabu yake ilitakiwa iwe red card.kama refa hakumpa hiyo red tff walitakiwa wampe adhabu inayofanana na hiyo red ambapo teqete angekosa mechi1.
kuhusu omega seme.ushahidi wa kamera unaonesha akifanya kazi ya kuwavuta wengine wasimpige refa kama nsajigwa.tff wanatakiwa wamfutie adhabu na wamuombe radhi omega seme na waache kufanya maamuzi ya kufuraisha watu..shame on you tff!