Sasa kama unaamini kuwa hakuna wa kukupa mnyama, unadhani kuna mtu atakayekuwa tayari umfanyie majaribio?Sijajua ni aina gani za wanyama wa kufanyia majaribio mdau pia ni ngumu mtu kunipa mnyama wake nimfanyie majaribio kwa jinsi navyojua watu na tabia zao.
Kuna wale panya wanaitwa simbils wanafugwa nenda iringa ukanunue uanzie kwao.Asante kwa mawazo yako mdau wangu, karibu sana kwa muda mwingine.
Naomba uniambie ulipo kama naweza kukuona ili nikufanyie upasuaji na una tatizo gani tumboni?Yaani umejifunzia You tube kwa miaka yote hiyo, mbona huwa ni ishu ya siku moja tu.
Mimi nitakubali unifanyie upasuaji wa tumbo ila kwa sharti moja, umpigie Dr Isack muda wote wa operesheni simu iwe kwenye loud speaker, afuatilie step kwa step na ikibidi awe anakupa maelekezo pale utakapokwama.
Sawa mdau asante.Sasa kama unaamini kuwa hakuna wa kukupa mnyama, unadhani kuna mtu atakayekuwa tayari umfanyie majaribio?
Ndugu, wewe si daktari wa meno? Au tumboni pia kuna magego?Naomba uniambie ulipo kama naweza kukuona ili nikufanyie upasuaji na una tatizo gani tumboni?
kanunue.Vipi ikitokea umefanya majaribio kwenye mwili wa mtu halafu umefeli?Sijajua ni aina gani za wanyama wa kufanyia majaribio mdau pia ni ngumu mtu kunipa mnyama wake nimfanyie majaribio kwa jinsi navyojua watu na tabia zao.
Asante mdau nitajaribu kuuliza kama nikiwapata nitafanya majaribio na kwao pia.Kuna wale panya wanaitwa simbils wanafugwa nenda iringa ukanunue uanzie kwao.
Najua majaribio kuna matokeo mawili.kanunue.Vipi ikitokea umefanya majaribio kwenye mwili wa mtu halafu umefeli?
Niko kwenye majaribio ya kweli mdau.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah chief uzi wako umenifanya nicheke kwelikweli doh alafu unavoongea seems like your very serious asee....
Nikutakie kheri tu katika shughuli hii...
Tumbo linajaa gesi, nipo Tengeru Arusha.Naomba uniambie ulipo kama naweza kukuona ili nikufanyie upasuaji na una tatizo gani tumboni?
Kwenye meno nina utaalamu wa kutosha sana ndio maana nataka kujaribu kama nitafanikiwa kwenye upasuaji. Nafurahi kwa mchango wako.Ndugu, wewe si daktari wa meno? Au tumboni pia kuna magego?
Napenda kujua kama unatumia sigara mkuu na carbonate drinks?Tumbo linajaa gesi, nipo Tengeru Arusha.
Umewaza wewe hivyo ila mimi sijawaza hilo. Karibu sana.Kwahiyo umeshafanya hii miili ya watanzania ni sawa na magari...
Baada ya kusoma juu ya utabibu kwenye mtandao wa YouTube kwa sasa nimeiva na ninataka kufanya majaribio ya kile nilichosoma kwa miaka zaidi ya 5 huko mtandaoni.
kama unahitaji kufanyiwa operesheni naweza kujaribu kufanya nione kama nitakuwa na mafanikio makubwa.