Najitolea bure kufanya matibabu kwa watu watakaokuwa tayari

Najitolea bure kufanya matibabu kwa watu watakaokuwa tayari

Yaani umejifunzia You tube kwa miaka yote hiyo, mbona huwa ni ishu ya siku moja tu.

Mimi nitakubali unifanyie upasuaji wa tumbo ila kwa sharti moja, umpigie Dr Isack muda wote wa operesheni simu iwe kwenye loud speaker, afuatilie step kwa step na ikibidi awe anakupa maelekezo pale utakapokwama.
 
Naomba uniambie ulipo kama naweza kukuona ili nikufanyie upasuaji na una tatizo gani tumboni?
 
Sijajua ni aina gani za wanyama wa kufanyia majaribio mdau pia ni ngumu mtu kunipa mnyama wake nimfanyie majaribio kwa jinsi navyojua watu na tabia zao.
kanunue.Vipi ikitokea umefanya majaribio kwenye mwili wa mtu halafu umefeli?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah chief uzi wako umenifanya nicheke kwelikweli doh alafu unavoongea seems like your very serious asee....

Nikutakie kheri tu katika shughuli hii...
 
Kwahiyo umeshafanya hii miili ya watanzania ni sawa na magari...
 
Baada ya kusoma juu ya utabibu kwenye mtandao wa YouTube kwa sasa nimeiva na ninataka kufanya majaribio ya kile nilichosoma kwa miaka zaidi ya 5 huko mtandaoni.

kama unahitaji kufanyiwa operesheni naweza kujaribu kufanya nione kama nitakuwa na mafanikio makubwa.

🤣 🤣 mbavu zangu jamani
 
mimi ninauwezo wa kuchoma sindano vema kabisa, nimepata uzoefu kupitia nguruwe ninao wafuga.
kiongozi tusaidiane ajira kunako majariwa, naamin hii ni fursa tunatoboa
 
Ndugu yangu afadhali umejitolea, nataka unifanyie upasuaji wa moyo maana umejaa maji.
 
Back
Top Bottom