Najitolea bure kufanya matibabu kwa watu watakaokuwa tayari

mimi ninauwezo wa kuchoma sindano vema kabisa, nimepata uzoefu kupitia nguruwe ninao wafuga.
kiongozi tusaidiane ajira kunako majariwa, naamin hii ni fursa tunatoboa
Umewahi kujaribu kutafuta kazi kwenye zahanati mkuu?
 
Cha meru
 
Seriously...... Mwifwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wanaanzia kwenye Cadaver kwanza ili wajifunze structure ya mwili, viungo, mishipa, neva na mengine mengi kwa ujumla.

Ila huyu kuona kwenye Youtube kajiona anaweza kupractice kwa binadamu aliye hai..

Namshauri aanzie kwa watoto wake(kama anao) akiiva vizuri ndio aje kwa raia wengine.
 
Sawa

Najitolea kua wa kwanza.
 
Watu kama nyie mkikutana na RC Mwamri wa tabora ingekua njema sana.
 

Mbaya zaidi anataka afanyie practise kwenye miili ya wenzie
 
yani huu uzi na coment za wadau alafu na jamaa anvyo act serious amenifanya nicheke kama boya ndani ya net usiku wote huu hahahaahaahaha
 
Mkuu biology form 6 watu wamepasua sana vyura,we umeshindwa hata kuntafuta chura umfanyie operation bila kufa?
Sijajua ni aina gani za wanyama wa kufanyia majaribio mdau pia ni ngumu mtu kunipa mnyama wake nimfanyie majaribio kwa jinsi navyojua watu na tabia zao.
 
 
Najitolea kwa hili ukitaka kujaribu kupasua kichwa nipo [emoji12][emoji12]
 
Anza kufanyia vyura kwanza upata practical experience...

Binadamu ana complications nyingi...


Cc: mahondaw
 
Inter view ya kwanza Unaanzaje kwa mama mjamzito mwenye ngiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…