Kaka imani nimefanya kazi Mwanachi Communication Ltd kwenye gazeti la Mwanaspot kuanzia nikiwa form1 mpaka Form2, nimefanya Bang Magazine nikiwa form 2 nimefungua kampuni yangu nimetengeneza magazine na kuuza project nikiwa form 3 ( ndoto magazine kwa wanaofatilia wataifahamu) sasa huamini nini
Thankyou for educating me sir, mengine unaniambia hapa I real nevr heard b4. May be nitaweza kujifunza aidi kutoka kwako. Post yako ya kwanza kabisa. Pengine hukuelewa nilichokuwa najibu boc wangu, jamaa aliuliza upande wa marketing akitaka ku tanua biashara yake kwenye maeneo mapya kama dar aanzie wap.Ni kweli haujaelewa sijui ni lugha yangu imekuwa ngumu kuielewa.
Ila upo kiswahili sana kaka jaribu kuwa mtu wa miaka mitano au wewe ni sales man nisikusumbue kwa kukwambia usiyoyajua
Ok naanza kwa kukujibu maswali yako Tanesco wanafanya marketing kwa sababu wanailinda brand yao kutokana na direct pamoja na indirect competitors,naona hata hujui nlikuwa nakuchallenge nione uko deep nimeona uko shallow in deep.
Wasionielewa watakuona uko juu kwa maelezo yako ila,ukiingia kwenye industry ni ishu kwa maelezo hayo.
Pia rudia kuisoma vizuri comment yangu naona umekurupuka kidogo,utanielewa
Marketing maana yake sio hiyo uliyoitoa maana ya marketing ni kuhamisha brand yako kutoka katika mfumo wako na kuileta kwa mtu unaemtegemea. Hiyo ndio maana ya marketing.
Na katika biashara kuna aina tatu za competitors sio compatitors (unapunguza crdt kwa kuandika broken),kuna direct,indirect na thinker, haya next post nielezee hawa tu na unawezaje kufight nao.
Bado sana kaka try your lucky,industry changed now and it's moving so fast,if your still in alpha others their approaching omega be smart, that's how marketing personnel he is support to be.
Be serious bana hapa sio fb,ulikuwa unasoma huku unafanya kazi mbili? Na ulikuwa unafanya kazi kama nani katika hizo kampuni? Kufungua gazeti inahitaji mwanasheria,dummy,waandishi wa habari sio chini ya 4,capital ya kuweza kutoa matoleo 10 bila kukosa,wewe vyote hivyo umevifanya ila ukafeli sababu haukuijua marketing sasa hv unasema una stationery sinza,hebu nipe mashiko ya kufanya anaekupa kazi akuamini iwapo ndani ya miaka mitano umefanya kazi kampuni zaidi ya 10 na hadi ukafungua ya kwako ila hautaki kujitolea huko unataka kwenye kampuni nyingine
Asante mkuu nasubiri majibu.
Hey calm down bro,Don't panic its just challenge
Sijafundishwa na mwakyembe wala mungai ila kama ndio marketing unayoiplay hivyo basi ushafeli kama kampuni yako ya magazine
And umesema kuhusu tigo na branding nahisi huelewi hata maana ya brand rudi kapitie package nzima ya business ndio utaweza kunielewa ili ufanikiwe katika marketing lazima ujue branding,marketing na customer care.sasa naona wewe unaufahamu kidogo wa marketing rudia tena kusoma maneno yangu ya mwisho kwenye comment ya pili,ukiwa unafanya marketing ni sawa na unakuwa darasani kila siku pitia pitia new trends za marketing then utaona how far you are.
Nlikwambia unijibu tofauti na jinsi ya kuwaface competitors wa aina tatu tofauti kwa huyo mkuu wa zanzibar ila umerudi na topic ya mwakyembe na Mungai mbona unahama mada ila nimekuelewa mwishoni. hata customer care ni tatizo maswali ya msingi unaruka ila kidogo jazba imekuja relax bro sio vita funguka zaidi ili niuone uwezo wako utapata kazi sio volunteer unayotaka.
Nakuachaaaaaaa mkuuu,all the best huko utakakopata kazi, ila kuwa makini tena sana.
Sawa unaweza ukawa una mzuka wa kuelezea kitu lakini inaharibu radha ya maelezo yako unapoamua kwa maksudi kuharibu lugha. Na hivi vitu ndiyo vinakufanya upunguze ufanisi (Efficiency) wa kazi zako hatimaye unaweza kupotezwa kwenye hiyo fani yako (You lose your reliability in your own game). Tafadhali ongeza umakini kwenye vitu vidogo vidogo.Hii post imenifurahisha sana. Dah! Ok this can be good debate.
Sikia nikwambie bosi wangu do you know why marketing? Au what is marketing? Do not confuse with sales mimi naweza kudefine marketng as an act of compatition, you can parsuade in market if you will only think of marketing as compatition. Sitakuchapa viboko ila nitakulazimisha unielewe, hebu jiulize tanesko wanaweza kuhitaji mtu wa marketing wa kazi gani? Mtu yoyote akitaka umeme hana ujanja lazima aende tanesko bila kusoma bango wala kusikia taangazo. Ila inakuaje kwa tigo? Wakikaa kimya bila kufanya marketing within a week wote tutaamia airtel!.(Sijui unaelewaa?)
Kama tigo wangekuwa peke yao hapa tanzania kusingekuwa na extreem, wala mgao wa bajaji, wala thumni, shilingi moja kwa sekunde,minikabaang, wala offer yoyote ile. Maofa yoooote haya ni kutokana na competitors, there's no need of marketing if there's no competitors there will be only one time advertisment. Utajua unatakiwa utumie nguvu gani kuwapasua wapinzani wako kama tu, utajua pumzi yao. Tigo wamefanikiwa kuwafanya watu wasiwaze yatosha cheka sana wala epiqnation, mwanzo mwisho ni thumni tu thumni, thumni. Kama airtel hataamka kumsoma mpinzani wake atakuja kushtukia abilia wameshuka mpaka na sit zote. Kesho unafuunga kampuni unarudi mueza kulima mjini biashara ngumu. Kwa uzembe tu wa kutokuwa makini na washindani wako.
Better understanding of your competitors is a major feature of marketing. Mimi nina stationery manzese lakini ninawateja wanatoka magomeni kila siku wanavuka zaidi ya stationery 50 katikati mpaka kunifikia mimi.
Note: marketing ni ushindani wa hali ya juu wa kumfanya mteja asifikirie sehemu nyingine zaidi yako.
Sasa unachonielekeza kaka yangu kwenye hiyo post yako mimi sielewi kabisa labda sijui unielekezeje. Lakusema kipaumbele hakitakuwa kwenye kuwasoma opponents wangu!!!!? Mimi nikimjua tu mpinani wangu leo kesho nakuja na sales plan matata mpaka wafanyakazi wake watakuja kununua kwangu badala ya dukani kwao. Lakini ni baada tu ya kumtambua mpinzani. Hii kitu nilipo iaply kwa mara ya kwanza niliboost sales kwa 170% ukitaka story ilikuwaje sema nitafunguka hapa hapa na evidenc zote.
I can advice you kaka, but first you have to know, good marketing does not depend on what language you are using but it is communication skills matter. Ni uvivu wetu tu kufikiria kuwa wateja wazuri na wenye hela za kununua bidhaa au huduma zetu ni wale wanao ongea kingereza, ha ha ha ha yaani huo ni mtindo wa kufikiria kinyume na maumbile. Sawa english ni lugha ya kimataifa but it is not a marketing language. That is accdng to my experience so if you can educate me something It will be great.
Kaka kukushauri jinsi ya kuexpand your product market iwill need to understand your product well, lakini very simple idea ni kuanza kwa kufanya very short marketing reseach in new targeted zone, and within your research start by stadyng your competitors. And collecting prospect costumers database then other thing will follow. I can do this reseach free for you then iwill prepare zone sales plan freeeee may be itakuwa na maana nikikuelekeza kwa vitendo tuachane na makwara ya maneno meeeeengi, ninaweza kuandika hapa nakajaza hata biblia but there's no reason of using thousands of words while one action can give the same meaning
Kaka imani nimefanya kazi Mwanachi Communication Ltd kwenye gazeti la Mwanaspot kuanzia nikiwa form1 mpaka Form2, nimefanya Bang Magazine nikiwa form 2 nimefungua kampuni yangu nimetengeneza magazine na kuuza project nikiwa form 3 ( ndoto magazine kwa wanaofatilia wataifahamu) sasa huamini nini
Sasa sio bure,hiyo lugha yabure itoe kabisaaa.Maana maelezo yanajichanganya na heading
:whistle::whistle::smiling:
Sikutegemea na kujisifu kote huko unaweza kuwa na majibu ya kitoto namna hii yaani umefanya marketing miaka zaidi ya 5 unajibu utaanza kuwatafuta washindani na kufanya utafiti
Ndio lazima utavifanya lakini sio tambo yako ya kwanza yaani nikuulize nataka kujua kuendesha gari nifundishe unajibu ingia kaa kiti cha dereva fanya utafiti kama gari ni manual au automatic kweli?
Vipi kama gari halina mafuta?oil chafu? Maji yameisha?
Me nilitegemea msomi kama wewe mwenye experience kubwa ungeniambia kitu cha kwanza ningeziangalia bidhaa zenyewe na kuzihakiki zinafaa kwa mteja nnaemtegemea,ww ndio unakuwa huyo mteja ili kuwa na uhakika na unachokifanya, baada ya hapo nitamtambua mteja wangu na nnaemtegemea ni yupi ntafanya uchunguzi wa sokoni kuna nini na nini na sehemu gani ntaweza kuiweka bidhaa yangu ikatoka baada ya hapo ntabuni mbinu ya kutokea ili niwe tofauti na wengine. Ndipo bidhaa itatoka. Lakini kujitapa kwako unaishia eti ntajaza biblia mbona me nimeeleweka na haijajaaa?
Ni kweli haujaelewa sijui ni lugha yangu imekuwa ngumu kuielewa.
Ila upo kiswahili sana kaka jaribu kuwa mtu wa miaka mitano au wewe ni sales man nisikusumbue kwa kukwambia usiyoyajua
Ok naanza kwa kukujibu maswali yako Tanesco wanafanya marketing kwa sababu wanailinda brand yao kutokana na direct pamoja na indirect competitors,naona hata hujui nlikuwa nakuchallenge nione uko deep nimeona uko shallow in deep.
Wasionielewa watakuona uko juu kwa maelezo yako ila,ukiingia kwenye industry ni ishu kwa maelezo hayo.
Pia rudia kuisoma vizuri comment yangu naona umekurupuka kidogo,utanielewa
Marketing maana yake sio hiyo uliyoitoa maana ya marketing ni kuhamisha brand yako kutoka katika mfumo wako na kuileta kwa mtu unaemtegemea. Hiyo ndio maana ya marketing.
Na katika biashara kuna aina tatu za competitors sio compatitors (unapunguza crdt kwa kuandika broken),kuna direct,indirect na thinker, haya next post nielezee hawa tu na unawezaje kufight nao.
Bado sana kaka try your lucky,industry changed now and it's moving so fast,if your still in alpha others their approaching omega be smart, that's how marketing personnel he is support to be.
Mkuu kama kuandika broken english kunapunguza credits za hoja mbona wewe unayejaribu kuonesha kuwa msamiati ni chipukizi kwenye hii tasnia unaandika kiingereza kibovu sana.
Btw,msamiati aliweka wazi kuwa yeye hayuko vizuri kwenye kiingereza ila anaweza kidogo cha kuongea.
Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka natafuta kampuni yoyote inayohitaji mtu wa kusimamia masoko nifanye kazi kwa kujitolea mpaka january. Nina uzoefu mkubwa na local makert kwa zaidi ya miaka 5. Miaka 2 online marketing 2 offline marketing and 1yr as costumer relation officer Ni kijana wa miaka 23. Kigezo cha kampuni ninayo tafuta, iwe na bajet kwa ajili ya masoko. Lakini iwetayari kuoffer vitu vingine kwani sitahitaji mshahara tu na sio gharama zingine. The company with best offer Will be accepted.