Najitolea kukuza kampuni yako bure

Najitolea kukuza kampuni yako bure

Kaka imani nimefanya kazi Mwanachi Communication Ltd kwenye gazeti la Mwanaspot kuanzia nikiwa form1 mpaka Form2, nimefanya Bang Magazine nikiwa form 2 nimefungua kampuni yangu nimetengeneza magazine na kuuza project nikiwa form 3 ( ndoto magazine kwa wanaofatilia wataifahamu) sasa huamini nini
Duuuh hongera sana ndugu kwa kweli upo vizuri kinooma
 
Dawa wengi wamejitahidi kuwa critical kwa huyu dogo ila dogo yuko fresh sasa sijui wengine wanamatatizo gani kuchanganya marketing na sales ingawa vinaweza kuingiliana au wanamind huyu kua ni kijana mdogo mixa anafanya mambo makubwa sijui sababu wao wameshindwa kufanya mambo daah ila dogo wewe ni mkali africa nzima yan..daaahh
 
Msamiati Naomba uni pm email yako japo Tuwe tuna keep in touch maana nipo kwenye process ya kuomba leseni ya kufungua radio. ...Naamini tutasaidiana sana
 
Kaka imani nimefanya kazi Mwanachi Communication Ltd kwenye gazeti la Mwanaspot kuanzia nikiwa form1 mpaka Form2, nimefanya Bang Magazine nikiwa form 2 nimefungua kampuni yangu nimetengeneza magazine na kuuza project nikiwa form 3 ( ndoto magazine kwa wanaofatilia wataifahamu) sasa huamini nini
Uwezo wa marktng/sales hautegemei umri, labda! , sio ajira. Form 1 miaka <15, ajira kwa watoto!
 
msamiati, I am interested to work with you, weka no yako ya simu hapa, or should I Pm you???
 
Mkuu kama kuandika broken english kunapunguza credits za hoja mbona wewe unayejaribu kuonesha kuwa msamiati ni chipukizi kwenye hii tasnia unaandika kiingereza kibovu sana.
Btw,msamiati aliweka wazi kuwa yeye hayuko vizuri kwenye kiingereza ila anaweza kidogo cha kuongea.
aise umeongea kweli,usimnyoshee kidole mwenzako wakati wewe haupo vizuri. kaandika kwa makosa kama msamiati sehemu hizo. pia KATIKA BIASHARA HAKUNA MTAAALAMU ZAIDI,KUMBUKA HATA USA KUNA WATAALAMU WA MARKETING KUTOKA HADI HARVARD, SO kufeli kwenye gazeti lake sio kigezo kwamba hajui marketing.
pia sisi wasomi professinal tunakuwa wazito kuhusu biashara, tunajua kaa ofisini na kufanya kazi za watu. ila kufanya kitu chako its very challenging.
mwisho KUJUA term za marketing si kigezo cha efficiency in marketing. MIMI NIMESOMA NA WATU WENYE LUGHA DEEP ZA MARKETING,lakini ractically they are NOT marketer even salesman. They are marketing graduates.
UPO SAHIHI MKUUU
 
Duh, nimekuelewa dogo rasi!! sasa twende Pm unifanyie makeke,
 
lyamber huyu dogo ameshafariki jamani imebakia historia tu hapa nimeumia sana amekufa akiwa bado tunamhitaji hasa mm nilikuwa namhitaji sana anisaidie upande wa marketing aiseee unauma sana
Dawa wengi wamejitahidi kuwa critical kwa huyu dogo ila dogo yuko fresh sasa sijui wengine wanamatatizo gani kuchanganya marketing na sales ingawa vinaweza kuingiliana au wanamind huyu kua ni kijana mdogo mixa anafanya mambo makubwa sijui sababu wao wameshindwa kufanya mambo daah ila dogo wewe ni mkali africa nzima yan..daaahh
 
oooh maskini so sad inauma sana such an important intellectual manpower to perish at his peak, he perished when the world need and search day and night people of his kind. Pumzika kwa Amani Mpendwa umefariki ungali una neno. maneno yako ya hai tena yenye Afya. pumzika kwa Amani
 
Back
Top Bottom