Duuuh hongera sana ndugu kwa kweli upo vizuri kinoomaKaka imani nimefanya kazi Mwanachi Communication Ltd kwenye gazeti la Mwanaspot kuanzia nikiwa form1 mpaka Form2, nimefanya Bang Magazine nikiwa form 2 nimefungua kampuni yangu nimetengeneza magazine na kuuza project nikiwa form 3 ( ndoto magazine kwa wanaofatilia wataifahamu) sasa huamini nini
Uwezo wa marktng/sales hautegemei umri, labda! , sio ajira. Form 1 miaka <15, ajira kwa watoto!Kaka imani nimefanya kazi Mwanachi Communication Ltd kwenye gazeti la Mwanaspot kuanzia nikiwa form1 mpaka Form2, nimefanya Bang Magazine nikiwa form 2 nimefungua kampuni yangu nimetengeneza magazine na kuuza project nikiwa form 3 ( ndoto magazine kwa wanaofatilia wataifahamu) sasa huamini nini
aise umeongea kweli,usimnyoshee kidole mwenzako wakati wewe haupo vizuri. kaandika kwa makosa kama msamiati sehemu hizo. pia KATIKA BIASHARA HAKUNA MTAAALAMU ZAIDI,KUMBUKA HATA USA KUNA WATAALAMU WA MARKETING KUTOKA HADI HARVARD, SO kufeli kwenye gazeti lake sio kigezo kwamba hajui marketing.Mkuu kama kuandika broken english kunapunguza credits za hoja mbona wewe unayejaribu kuonesha kuwa msamiati ni chipukizi kwenye hii tasnia unaandika kiingereza kibovu sana.
Btw,msamiati aliweka wazi kuwa yeye hayuko vizuri kwenye kiingereza ila anaweza kidogo cha kuongea.
Sasa sio bure,hiyo lugha yabure itoe kabisaaa.Maana maelezo yanajichanganya na heading
RIP kuna mambo nilitaka kukuuliza .Upumzike salama mkuu
Dawa wengi wamejitahidi kuwa critical kwa huyu dogo ila dogo yuko fresh sasa sijui wengine wanamatatizo gani kuchanganya marketing na sales ingawa vinaweza kuingiliana au wanamind huyu kua ni kijana mdogo mixa anafanya mambo makubwa sijui sababu wao wameshindwa kufanya mambo daah ila dogo wewe ni mkali africa nzima yan..daaahh