Najitolea kuwa wakili wa Lulu


hakuna ushahidi wa hayo,na namjua mke wangu tu!wewe,aaaaaarrrgggg,what for?
 

Fabinyo haya sasa kazi ni kwako mama yeke kaomba msaada wa wanasheria kama vipi mcheck Joyce kiria akupe namba ya mama yake!
 
Kwa kesi hii wengi watajidai mawakili

Na ahadi ni ileile ya ntakuoa, maana si atakuwa 'mkubwa' pindi atakapotoka huko lupango, kama hatakuwa na hatia. Na hapo si chini ya miaka 5 hadi 7. Masikini Lulu, haraka ya mapenzi imemuingiza 'ukubwani' mapemaaaaaaa!
 
kamsaidie jamani maana kiukweli anahitaji msaada wa hali ya juu... Be blessed.
 
Good..mtafute Joyce Kiria wa wanamama live Eatv,akupe contact za Mama lulu
 

we ndo umemtuma akamuue?
 
Jamani kwa nini majibu haya lakini, ebu JF tusipafanye pa walevi na watu wasiojua cha kufanya, nafikili huyu anahitaji mchango wako wa mawazo kama hauna cha kusema basi si lazima uchangie, "yake tamu sana" nini?
 
nakuuuunga mkono, Mungu akutangulie katika jina la bwana uokoe hiki kiumbe kisiangamie maisha, kwani hakijauakwa upanga ni mipango ya Mungu tu wala sio freeMason
 
Hilo ni swali gani sasa ulikuwepo wakati anamuua au ndio nyie mnao sikia radio mbao,mimi sikuwepo ndio maana siwezi kumuhukumu mtu,Kifo cha Kanumba kinaniuma lakini pia namuonea huruma Lulu maana uenda sio kweli alimuua
 
Kama unajua sheria na ni mpenda haki nenda kamuwakilishe Lulu. Lakini naona hakuna kesi ya kujibu pale faili likipelekwa kwa DPP litarud hakuna kesi ya kujibu pale. Si ilikuwa self defence ile? or either accident?

Mabush lawyers bana!!
 

Yaani si kwamba hakuna anayeemsema vizuri kwa kuwa alikuwa wa mwisho pale kwa SK..

Watu hawampendi,(sijafanya utafiti,ila nadhani kina dada wenzake ni wengi zaidi) kwa kuwa ni mtundu,na tena bado ni mwenye sura nzuri na umbo la kuvutia machoni..
Yaani wao wanaona anamisuse uzuri aliojaliwa na Muumba,kwa viatabia vyake..

So wanaona bora yamkute,au yamfike,ili ashike adabu yake!
 

Yaani si kwamba hakuna anayeemsema vizuri kwa kuwa alikuwa wa mwisho pale kwa SK..

Watu hawampendi,(sijafanya utafiti,ila nadhani kina dada wenzake ni wengi zaidi) kwa kuwa ni mtundu,na tena bado ni mwenye sura nzuri na umbo la kuvutia machoni..
Yaani wao wanaona anamisuse uzuri aliojaliwa na Muumba,kwa viatabia vyake..
 
Hii kesi ina public interest, uliona ule umati msibani, achilia mbali walioko mikoani ambao hawakuoneka pale? Wote hao watataka kujua ukweli, haijalishi lulu ana miaka 16 sijui 17,

So ukatende haki huko, all da best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…