Najiuliza bila kupata majibu, ni nani anawashauri washauri wa viongozi wetu?

Najiuliza bila kupata majibu, ni nani anawashauri washauri wa viongozi wetu?

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Habarini za wakati huu.

Pasi na shaka wapo washauri wa viongozi wetu, na viongozi ndyo huwachagua watu hao.

Napata mashaka kuona baadhi ya viongozi kuwa na hoja hafifu na uwezo mdogo wa kupambanua mambo, mimi sijabobea katika siasa lakini atleast naweza kuona na kuelewa mienendo ya viongozi.

Hao wanao washauri viongozi wetu wanashauriwa na nani? Kama ni mawazo yao binafsi Je wanasema ukweli au wanashauri kwa lengo la kulinda matumbo yao? Je hao washauri wanapatikana kwa vigezo gani?
 
Back
Top Bottom