Najiuliza Kama kwenye uchumba tunakosa furaha, tukimpa Timu itakuwaje!!!

Najiuliza Kama kwenye uchumba tunakosa furaha, tukimpa Timu itakuwaje!!!

Wanasimba tutafakari vema kumpa Timu huyu bwana tunaemwita mwekezaji.
Naliona Giza mbele yetu
Mimi nimepoteza imani kwake.
Tulisha sema humu,(changia), tatizo la simba SC ni wanachama kama wapo, wanataka wapikiwe, walishwe, (spoon feeling), na kuimbiwa nyimbo na hadithi nzuri ili walale.
 
Hadi amewatambulisha ndugu zake wa damu wanaoishi kule kenya
Kwa kweli ni inaumiza na kuathili maisha ya watu hii Simba. Nayaona yale ya Timu aliyokuwa anamiliki na kufa miaka ya nyuma yanakuja Kwa Simba
 
Back
Top Bottom