Tulisha sema humu,(changia), tatizo la simba SC ni wanachama kama wapo, wanataka wapikiwe, walishwe, (spoon feeling), na kuimbiwa nyimbo na hadithi nzuri ili walale.Wanasimba tutafakari vema kumpa Timu huyu bwana tunaemwita mwekezaji.
Naliona Giza mbele yetu
Mimi nimepoteza imani kwake.
Swali zuri sana badala ya kulalamika kwenye mashuka ama mablanketiNyie kama wanachama mna mchango gani?
Mnataka kumpa timu mwekezaji wenu kwa mara ya ngapi tena! Na wakati yeye ndiye mmiliki halali wa timu baada ya kuinunua kwa bilioni 20?Wanasimba tutafakari vema kumpa Timu huyu bwana tunaemwita mwekezaji.
Naliona Giza mbele yetu
Mimi nimepoteza imani kwake.
Labda anaongelea Simba QueensMnataka kumpa timu mwekezaji wenu kwa mara ya ngapi tena! Na wakati yeye ndiye mmiliki halali wa timu baada ya kuinunua kwa bilioni 20?
Hadi amewatambulisha ndugu zake wa damu wanaoishi kule kenyaMnataka kumpa timu mwekezaji wenu kwa mara ya ngapi tena! Na wakati yeye ndiye mmiliki halali wa timu baada ya kuinunua kwa bilioni 20?
Wekeza hela, acha manenoWanasimba tutafakari vema kumpa Timu huyu bwana tunaemwita mwekezaji.
Naliona Giza mbele yetu
Mimi nimepoteza imani kwake.