balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Nimeweka pesa kwa wakala,
Meseji ikaenda kwa wakala kwamba muamala umefanikiwa lakini kwangu meseji haijafika.
Nimeangalia salio hakuna pesa, wakala akawapigia simu wakasema pesa imekuja kwangu wakati pesa kwangu haijaja.
Najiuliza ni kitu gani hiki Vodacom wanafanya?