mwangomo83
Member
- Jun 18, 2021
- 15
- 47
Najiuliza maswali mengi nashindwa kupata jibu,hivi Halima Mdee nini kilichomsibu,siamini kama ni tamaa za ubunge au kuna kingine cha ziada, huyu alikuwa Mwenyekiti wa Bawacha mtu mkubwa ndani ya chama ,akizunguka Tanzania na nje ya tz kukipigania chama.
Hawa wenzake walimpa nini mpaka akakisaliti chama, huyu alikuwa chuma kwelikweli, ni uoga wa Serikali ya kipindi cha Chato ili ajinasue mapema?
Tamaa ya ubunge hili siafiki kwa sababu angeteuliwa tu viti maalum mambo yakiwa sawa au ni usaliti kwa Chama. Halima amejiporomosha mwenyewe, amejishusha mwenyewe, hawa wenzake wengine hata hawajulikani tunawaona wakitabasamu tu.
Halima akiwa anaongea, bora ya Matiko na Bulaya mikiki yao tunaijua, walimpa nini mpaka akajishushia heshima yake kubwa kubwa sana?