Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hawajaomba msamahaHakuna awaye perfect, chadema ingewasamehe tu ule ni upepo tu umepita
Kwahiyo hivi nchi inavyoendeshwa ndo tupo kwenye paradizo? Mwenzetu tunaona upo juu ya paradizo. Waulize akina mzee Waryoba na Butiku kama kweli nchi ipo kwenye paradizo.Mi nafikiri hilo la akina Halima Mdee na wenzake likupe fununu kwamba chadema inavyosimuliwa na wanamtandaoni ni tofauti sana na chadema halisi ilivyo.
Wakikusimulia wanachadema kuhusu chadema utadhani leo hii chadema ikiingia madarakani nchi itageuka paradiso. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ndio hawa hawa akina mdee ndio wangekuwa sijui mawaziri, pengine mbowe angekuwa ndiyo PM, watu corrupt corrupt tu hawa ndio wangekuwa wakiongoza serikali.
Hii nchi usiweke tumaini lako kwenye ushindani wa vyama vya siasa. Wote ni funza tu.
Hakunaga mkate mgumu mbele ya chai ya uswahiliniNajiuliza maswali mengi nashindwa kupata jibu,hivi Halima Mdee nini kilichomsibu,siamini kama ni tamaa za ubunge au kuna kingine cha ziada, huyu alikuwa Mwenyekiti wa Bawacha mtu mkubwa ndani ya chama ,akizunguka Tanzania na nje ya tz kukipigania chama.
Hawa wenzake walimpa nini mpaka akakisaliti chama, huyu alikuwa chuma kwelikweli, ni uoga wa Serikali ya kipindi cha Chato ili ajinasue mapema?
Tamaa ya ubunge hili siafiki kwa sababu angeteuliwa tu viti maalum mambo yakiwa sawa au ni usaliti kwa Chama. Halima amejiporomosha mwenyewe, amejishusha mwenyewe, hawa wenzake wengine hata hawajulikani tunawaona wakitabasamu tu.
Halima akiwa anaongea, bora ya Matiko na Bulaya mikiki yao tunaijua, walimpa nini mpaka akajishushia heshima yake kubwa kubwa sana?
Shida Hela/PesaNajiuliza maswali mengi nashindwa kupata jibu,hivi Halima Mdee nini kilichomsibu,siamini kama ni tamaa za ubunge au kuna kingine cha ziada, huyu alikuwa Mwenyekiti wa Bawacha mtu mkubwa ndani ya chama ,akizunguka Tanzania na nje ya tz kukipigania chama.
Hawa wenzake walimpa nini mpaka akakisaliti chama, huyu alikuwa chuma kwelikweli, ni uoga wa Serikali ya kipindi cha Chato ili ajinasue mapema?
Tamaa ya ubunge hili siafiki kwa sababu angeteuliwa tu viti maalum mambo yakiwa sawa au ni usaliti kwa Chama. Halima amejiporomosha mwenyewe, amejishusha mwenyewe, hawa wenzake wengine hata hawajulikani tunawaona wakitabasamu tu.
Halima akiwa anaongea, bora ya Matiko na Bulaya mikiki yao tunaijua, walimpa nini mpaka akajishushia heshima yake kubwa kubwa sana?
Fafanua mkuuU must know the meaning of Undercover aka Jasusi ndio utaelewa picha chedema wameicheza. It is very costfull but no way.
Mekwambia wote hao mafunza tu hawana interest zangu wala zako mioyoni mwao. Huyu anayekwambia kula kwa urefu wa kamba yako, na mdee aliyefoji saini ili akule keki ya taifa.Kwahiyo hivi nchi inavyoendeshwa ndo tupo kwenye paradizo? Mwenzetu tunaona upo juu ya paradizo. Waulize akina mzee Waryoba na Butiku kama kweli nchi ipo kwenye paradizo.
Tuweke kanisani?Mi nafikiri hilo la akina Halima Mdee na wenzake likupe fununu kwamba chadema inavyosimuliwa na wanamtandaoni ni tofauti sana na chadema halisi ilivyo.