Najiuliza nini kilimsibu Halima Mdee mpaka kukisaliti chama

Kwahiyo hivi nchi inavyoendeshwa ndo tupo kwenye paradizo? Mwenzetu tunaona upo juu ya paradizo. Waulize akina mzee Waryoba na Butiku kama kweli nchi ipo kwenye paradizo.
 
Hakunaga mkate mgumu mbele ya chai ya uswahilini
 
Anatumia akili za kushikiwa na Ester Bulaya kweli.....🤔
Pamoja na alipokuwa amefikia kisiasa ni aibu na watu dizaini yake ndio wanamvunja nguvu mwenyekiti mbowe, anawapiga msasa matokeo yake wanamsaliti ni aibu kwake....
Hata akisamehewa tayari ana doa kisiasa...
 
Ni Magufuli ndiye aliyewarubuni hawa wanawake kwa kutumia udikteta wake na mpaka kumtoa yule dada magereza.

Ilikuwa ni ubabe tu wa Magufuli akamwamuru Ndugai wakijua kwamba hakuna kitakachofanyika basi na akina Mdee wakawa na viburi lkn ndio hivyo tena hakuna ajuaye kesho.

Lakini leo Magufuli hayupo na Ndugai ndio hivyo tena amebaki wa kupiga chabo kama kibaka hivyo akina Mdee hawana pa kuegemea inabidi tu waanguke. That's it.
 
Shida Hela/Pesa
 
Kwahiyo hivi nchi inavyoendeshwa ndo tupo kwenye paradizo? Mwenzetu tunaona upo juu ya paradizo. Waulize akina mzee Waryoba na Butiku kama kweli nchi ipo kwenye paradizo.
Mekwambia wote hao mafunza tu hawana interest zangu wala zako mioyoni mwao. Huyu anayekwambia kula kwa urefu wa kamba yako, na mdee aliyefoji saini ili akule keki ya taifa.
 
Tuweke kanisani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…