THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Tumezoea kusikia Vijembe kila kukicha kutoka kwa Madam president.
Na vijembe hivi hu vidirect kwa watu wanaokosoa na kusema uongozi wake..
Najiuliza Je na la gwajima atajibu mipasho tena?
Tatizo wala sio uzanzibar wake tatizo ni ukatili wake usio na huruma dhidi ya watanganyikaU znz wa madamu sasa umeleta haya watanganyika wamechoka
Wote tuseme eemeeeeen! hahahKuna mtu atakuja kupandisha majini kwenye podium.
Unaweza ukanitajia mambo matatu ambayo ameyafanya mkuuWalete hoja zingine sasa kila mpinzani akija hoja ni za utekwaji wa wanasiasa, hasa hoja zao chache uki compare na mambo aliyotufanyia Rais Samia
Kuna code humu zinasema 29-30 May Dodoma kuna jambo tusubiri, nyingine inasema July siyo mbali sasa sijui kuna niniTumezoea kusikia Vijembe kila kukicha kutoka kwa Madam president.
Na vijembe hivi hu vidirect kwa watu wanaokosoa na kusema uongozi wake..
Najiuliza Je na la gwajima atajibu mipasho tena?
Huwezi kuona hoja kwakuwa unanufaika na utekaji na ufisadi wenu.Walete hoja zingine sasa kila mpinzani akija hoja ni za utekwaji wa wanasiasa, hasa hoja zao chache uki compare na mambo aliyotufanyia Rais Samia
Why not?Tumezoea kusikia Vijembe kila kukicha kutoka kwa Madam president.
Na vijembe hivi hu vidirect kwa watu wanaokosoa na kusema uongozi wake..
Najiuliza Je na la gwajima atajibu mipasho tena?