Kipindi kile mkoa ulikuwa hauelewiki, yaani Hauna mbele Wala nyuma😆wakaamua kuuboost ifahamike ndio wakaja na hiyo slogan😛😛. Ukawa maarufu...na branding za kutosha ila hakuna kitu😆😆
👏nafikiri sababu hasa ya waja leo (waondoka leo) ni barabara iliyojengwa ya lami ktk dar-tanga, kipindi hicho ilikuwa ni big deal kuwa barabara ya lami mkoa kwa mkoa, hivyo ulikuwa na uwezo wa kwenda tanga na kurudi dar siku hiyo hiyo ndiyo asili hasa ya waja leo waondoka leo …
Mkuuu naomba hizo code mkuuuWatoto wa Tanga wengi huwezi kuwapata maeneo kama hayo, hao watoto wana sehemu zao za kuwapata ni mpaka uwe na mwenyeji au ukae sana na uwe unatembea na kupiga soga na masela wa huko, si watu wa kujichanganya kwenye sehemu za starehe, Kuna code zao...Binafsi naona baadhi ya sehemu za pwani Kuna codes kadhaa halafu wanajuana wao Kwa wao yaani utafikiri ni watu innocent sana lakini.....so ni tofauti tulivyozoea bara mambo yako wazi wazi.
Vazi la hijabu na hikabu limewafubaza na kuwazeesha ...mwanamke mwenye kuvaa hayo mavazi wengi awajijaliIgweeeeeee,
Wakuuu nipo kikazi Tanga kutokea Jiji la Dar es salaam.
Wakuuu Mimi ni Mla Bata Kila ninapoenda sehem ni lazima nihuzurie viwanja vya Wala Bata .
Wakuuu kiufupi Tanga madem wakali hakuna.Dodoma nimetembea I appreciate that place,Kahama shinyanga ,Mbeya Singida Kuna Warembo.
Jiji la Dar es salaam ndo balaa usiseme kisima Cha Warembo.
Sasa najiuliza ule msemo wa Tanga waja Leo waliutoa wapi? Mbona watoto wazr hatuwaoni?