Najiuliza Yondan alijuaje kuwa Kagere ana bima ya afya uwanjani?

Najiuliza Yondan alijuaje kuwa Kagere ana bima ya afya uwanjani?

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Niko najipongeza na droo sio kwa bahati mbaya ni hela ya mhindi kalia.

Kama mtu amekasirika ajitokeze ajifanye kama anajikuna

Umejiuliza Yondan alijuaje jamaa Kagere kavaa bima ya afya uwanjani? Hivi unajua yule mshabiki wa Yanga alivyoingia uwanjani akadondoka

Kilichoendelea upande wa Simba

Kamuulize Manula.
 
RE
Bila ubishi, pale ZILIGONGANA. Zile zana zina force Fulani hivi zikikaribiana lazima kuwe na VIBRATIONS. Ila refa ana moyo kuikamata na kuitupa.
FAAA NAE TUNGEMSACHI LAZIMA.ANA MZIGOO ILE YKISHIKA KIJINGA UNAKWENDA MNAKUMBUKA MCHEZAJI.MMOJA.WA SIMBA ALIWAHI FIA UWANJAN MZIGO ULIMLEMEAA KAGERE JANA ANGEFORCE KUENDELE

NGEMZIKAA
 
Lijamaa lichaawi lile yaani sura yake iinaonekna baada ya kuvuliwa tu hakugusa mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguzeni mahaba na ujinga..ile ilikuwa cheni ya kawaida na ilikuwa na msalaba. Halafu unachosema unakielewa lkn!?? Hakugusa mpira kivp tukio la kuvuliwa cheni limetokea dakika 21 kwenda 22. Goli la kwanza la Simba limefungwa dakika 42. Sasa hakugusa vipi na alifunga goli.

Goli la pili la Simba yeye ndo katengeneza dakika ya 47. Ujinga siyo kitu cha kujivunia..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ilikuwa cheni na ilikuwa na msalaba..!! Labda kama cheni ni hirizi za kisasa...!! Yaani kweli ujinga ni mzigo....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom