nG'aMBu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,055
- 3,120
Rudia kuangalia ni hirizi pure hata mm nilikuwa bado siamini, tena alishika kagere pemben yupo kapombePunguzeni mahaba na ujinga..ile ilikuwa cheni ya kawaida na ilikuwa na msalaba. Halafu unachosema unakielewa lkn!?? Hakugusa mpira kivp tukio la kuvuliwa cheni limetokea dakika 21 kwenda 22. Goli la kwanza la Simba limefungwa dakika 42. Sasa hakugusa vipi na alifunga goli.
Goli la pili la Simba yeye ndo katengeneza dakika ya 47. Ujinga siyo kitu cha kujivunia..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app