Najiuliza Yondan alijuaje kuwa Kagere ana bima ya afya uwanjani?

Rudia kuangalia ni hirizi pure hata mm nilikuwa bado siamini, tena alishika kagere pemben yupo kapombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nashindwa kuelewa Kwan lile bega la kagere liliumia kwa tukio gan pale uwanjan?
 
Kwa sheria za TFF mchezaji au timu ikijihusisha na ndumba inatakiwa kuchapwa faini, hebu ngoja tusubiri tuone
 
Maneno mengi lakini Ile itabaki kuwa ni hirizi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi video niliyoiona kagera alikua na hirizi mkononi akampa refa. Sasa sijui aliitoa mfukoni au aliiokota au aliichukua kwa mtu akaenda kumpa. Heb Kama wenzangu mlimuona akiwa anaitoa mfukoni kwake au mahali popote kwenye mwili wake?kwa namna nilivyoona ni vigumu kumhukumu kagere Kama ilikua yake kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What if hata kama ni hirizi ? Au huu ndio muendelezo wa kuona imani za mababu zetu ni za kishenzi na zilizoletwa ndio za kistaarabu ?

Imani ni imani na Imani inajenga confidence... kwahio kuna ubaya gani mtu kuamini alichopewa na mababu zake au watu wake kinamletea bahati ? (Kumbuka hapa ni imani.., hii haina tofauti na anayeweka alama ya msalaba au yule anayebusu ardhi) zote ni imani
 
Mpira wa Bongo ni shidaaaaaaa
- John Terry taping his shinpads up three times,
-Gary Neville wearing the same eau de parfum every day,
-Gazza making sure all the towels in the dressing room hang off the rail symmetrically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…