Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 284 Aug 13, 2010 #1 Hivi Wajomba na mashangazi, ma-braza na masiteri namba niwaulizage....?!! Hivi, kwa zama zetu hizi za leo na utandagiza huu, wangapi wanaweza rudi kijijini kwenda kusaka demu au mvulana ambae atakuwa mwenzi wake wa maisha???!
Hivi Wajomba na mashangazi, ma-braza na masiteri namba niwaulizage....?!! Hivi, kwa zama zetu hizi za leo na utandagiza huu, wangapi wanaweza rudi kijijini kwenda kusaka demu au mvulana ambae atakuwa mwenzi wake wa maisha???!
Egyps-women JF-Expert Member Joined Feb 5, 2010 Posts 497 Reaction score 107 Aug 13, 2010 #2 Swali tata:becky:
Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 284 Aug 13, 2010 Thread starter #3 Egyps-women said: Swali tata:becky: Click to expand... Kwanini mrembo?!:smile-big: