Najiulizaga sana kwanini madaktari na manesi wazungu hawavai gloves wakikupima

Najiulizaga sana kwanini madaktari na manesi wazungu hawavai gloves wakikupima

Haha mkuu kama usingetaja location yako basi ningekufananisha kwa kila kitu na jamaa yangu flani. .. hamtofautiani sana kwa mambo yenu.
 
Kuna Kanuni na Taratibu za kuhudumia mgonjwa, ambazo zimewekwa ili kumlinda mgonjwa na mtoa huduma, ili wote wawe salama - waepuke kusambaziana magonjwa.

Huyo Mzungu ambaye hakufuata taratibu hizo unapaswa umshangae, umhurumie na umkanye. Hapo anahatarisha afya yako, yake na ya wagonjwa aliowahudumia baada yako.

Hapo kama alihudumia mgonjwa wa ugonjwa unaoambukizwa kwa migusano, huenda (au angeweza) alikuambukiza.

Badala ya kufurahia na kumsifia (Kwasababu ni Mzungu pengine), ulipaswa umhurumie na uwapongeze wale wanaofuata hizo Sheria na Kanuni.

Uwe na wakati mwema Mkuu.

Ujinga wakati mwingine mzigo.. kisa mzungu basi asipovaa gloves ni mstaarabu na anajua kazi yake.
Jamani sio kila mzungu ni Padre [emoji53][emoji53][emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️
 
Aiseee chalii yangu Denmark. Nilikuwa nanuka Jasho la hatareee. Halafu nilikuwa nawahi iyo appointment sikupoteza mda kwenda kuoga
Uliwahi kwenda hospital mara ngapi mkuu ukiwa huko? Naona ulikutana tu na ambao waliona hakukuwa na umuhimu wa kuvaa. Mimi hizo hospital nimehudhuria sana na nakukuhakikisha huwa wanavaa. Ila kama ulivyosema mambo ya kuku-attend vizuri na kuku-handle utadhani wame-fall in love (kama ni kina mama) ni kweli kabisa. Huduma zao ni nzuri, hawana haraka, wanakusikiliza, mnajadiliana nk
 
Mzuqa

Juzi nilikuwa na appointment ya kupimwa na kupewa chanjo ya Hepatitis A and B kwasababu nina ka partime kusafisha hospital flan.

Nilienda hospital mchafumchafu na Jasho kwasababu nilikuwa natokea kazi nyingine. Nilikuwa na hofu halafu daktari mwenyewe kasister du.

Cha kustaajabisha alikuwa mcheshi sana story story na kunihoji kama na matatizo mengine ya Afya. Akachukua vipimo vya damu na kunipa chanjo.

Akaniuliza chanjo gani nishapewa bongo nikamuambia sikumbuki. Nikamchekesha kwa kumuambia iyo alama hapo begani Inaitwa Tanzania Mark Cheka sana dada ya watu.

Akanipa chanjo ya Hepatitis A and B wala hakuvaa gloves. Na siyo yeye tu yani wote. Usipowajua Utadhan wanakupenda yani wamefall in love na wewe kumbe ni ethics za kazi na wanajali na kupenda.

Sasa kuja hapa Bongo yani kupimwa maleria tu Utadhan watu wako kwenye nuclear reactor plant ama ebola danger zone
Kijana box boy kuvaa gloves si kwa usalama wa mvaaji tu bali kwa usalama wako pia maana yeye kwa siku anahudumia wagonjwa mbali mbali. Alafu kwanini usingemuuliza uyo sista duu nesi kwanini hakuvaa?
 
Kijana box boy kuvaa gloves si kwa usalama wa mvaaji tu bali kwa usalama wako pia maana yeye kwa siku anahudumia wagonjwa mbali mbali. Alafu kwanini usingemuuliza uyo sista duu nesi kwanini hakuvaa?
Nyinyi mnaovaa gloves huko tandale kila siku mnakufa na kipindu pindu.

Fanya kazi wewee
 
Tatizo watu hatuelewi kwanini wahudumu wanavaa protective gears ikiwemo gloves kwa akili ya haraka tunafikiri wanajikinga wao lkn lengo kuu ni kumkinga Mgonjwa unayemhudumia zaidi!ndio maana unatakiwa unawe mikono kabla ya kumgusa client au Mgonjwa pia uvae [emoji3451] safi kwa clean procedure na Sterile glove kwa Sterile procedure,muhudumu wa afya anaenawa mikono na kuvaa gloves kabla ya kukuhudumia Mpende na mheshimu amekulinda na mengi maana hakuna sehemu mbaya na yenye maambukizi kama Hospital na hujui ktk pita yake ameshika wapi ambapo wagonjwa pia wanashika unaweza ukaja kwa vaccination ukatoka na skin infection,Mind you ukute huyo aliyekuhudumia bila glove aliku nyanyapaa kulingana color ya ngozi yako peleleza km wengine (whites)anawafanyia hivyo.
Mkuu umeandika ukweli na kizalendo sana, kongole kwako
 
Mzuqa

Juzi nilikuwa na appointment ya kupimwa na kupewa chanjo ya Hepatitis A and B kwasababu nina ka partime kusafisha hospital flan.

Nilienda hospital mchafumchafu na Jasho kwasababu nilikuwa natokea kazi nyingine. Nilikuwa na hofu halafu daktari mwenyewe kasister du.

Cha kustaajabisha alikuwa mcheshi sana story story na kunihoji kama na matatizo mengine ya Afya. Akachukua vipimo vya damu na kunipa chanjo.

Akaniuliza chanjo gani nishapewa bongo nikamuambia sikumbuki. Nikamchekesha kwa kumuambia iyo alama hapo begani Inaitwa Tanzania Mark Cheka sana dada ya watu.

Akanipa chanjo ya Hepatitis A and B wala hakuvaa gloves. Na siyo yeye tu yani wote. Usipowajua Utadhan wanakupenda yani wamefall in love na wewe kumbe ni ethics za kazi na wanajali na kupenda.

Sasa kuja hapa Bongo yani kupimwa maleria tu Utadhan watu wako kwenye nuclear reactor plant ama ebola danger zone
Mwanzo nilipinga hii issue, nimefanya blood test mara nyingi tu sikuwahi kuchunguza lakini leo nimehakikisha baada ya kwenda kupima damu hispital moja kwenye nchi za kibepari,nurse kajipaka jelly kachuchukua damu na kunisindika pamba,nikauliza mbona huvai gloves akanijibu jelly inatosha siyo lazima kuvaa chumba cha upasuaji ndiyo lazima kuvaa.
 
Rafiki yangu anadai eti wana health information yote kukuhusu kwenye data base kwa iyo hawavai gloves. Nikamuambia iyo si sababu.
Nahitaji hiyo chanjo, inatolewa hospitali yoyote?
 
Mwisho mtakuja kusifia wanatumia gloves moja siku nzima mkidhani ni sifa
 
umenikumbusha dr bingwa mmoja hapo mwanza alipomkaripia nesi aliyetaka kunichukua vipimo usiku wa manane,na kumwambia huyu ana harisha na kazi tuliyonayo hapa ni kumpa drip na dawa aache kuharisha, wewe unataka kumtoboa uchukue damu,nani kakufundisha hivyo.vipimo utachukua kesho.Akamwambia aache haraka.
dr mwingine siku nyingine nimemueleza jinsi ninavyojisikia mara pa ananiambia unaonaje tukikupima HIV,Nikamwambia hujanipa ushauri nasaha unataka upime HIV,nikamwambia do you know the meaning of VCT,(voluntary concelling and testing)lakini wewe unataka ukimbilie kwenye Test,bila concelling,nikaishia kumwambia kazi njema.
kwaiyo wewe mtoa uzi mpaka umeandika haya inawezekana kuna mambo umeyaona na umeyapitia,there is a gap,bad gap kwa hawa wataalamu wa afya.
 
Back
Top Bottom