Najiulizaga sana kwanini madaktari na manesi wazungu hawavai gloves wakikupima

Haha mkuu kama usingetaja location yako basi ningekufananisha kwa kila kitu na jamaa yangu flani. .. hamtofautiani sana kwa mambo yenu.
 

Ujinga wakati mwingine mzigo.. kisa mzungu basi asipovaa gloves ni mstaarabu na anajua kazi yake.
Jamani sio kila mzungu ni Padre [emoji53][emoji53][emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️
 
Aiseee chalii yangu Denmark. Nilikuwa nanuka Jasho la hatareee. Halafu nilikuwa nawahi iyo appointment sikupoteza mda kwenda kuoga
Uliwahi kwenda hospital mara ngapi mkuu ukiwa huko? Naona ulikutana tu na ambao waliona hakukuwa na umuhimu wa kuvaa. Mimi hizo hospital nimehudhuria sana na nakukuhakikisha huwa wanavaa. Ila kama ulivyosema mambo ya kuku-attend vizuri na kuku-handle utadhani wame-fall in love (kama ni kina mama) ni kweli kabisa. Huduma zao ni nzuri, hawana haraka, wanakusikiliza, mnajadiliana nk
 
Kijana box boy kuvaa gloves si kwa usalama wa mvaaji tu bali kwa usalama wako pia maana yeye kwa siku anahudumia wagonjwa mbali mbali. Alafu kwanini usingemuuliza uyo sista duu nesi kwanini hakuvaa?
 
Kijana box boy kuvaa gloves si kwa usalama wa mvaaji tu bali kwa usalama wako pia maana yeye kwa siku anahudumia wagonjwa mbali mbali. Alafu kwanini usingemuuliza uyo sista duu nesi kwanini hakuvaa?
Nyinyi mnaovaa gloves huko tandale kila siku mnakufa na kipindu pindu.

Fanya kazi wewee
 
Mkuu umeandika ukweli na kizalendo sana, kongole kwako
 
Mwanzo nilipinga hii issue, nimefanya blood test mara nyingi tu sikuwahi kuchunguza lakini leo nimehakikisha baada ya kwenda kupima damu hispital moja kwenye nchi za kibepari,nurse kajipaka jelly kachuchukua damu na kunisindika pamba,nikauliza mbona huvai gloves akanijibu jelly inatosha siyo lazima kuvaa chumba cha upasuaji ndiyo lazima kuvaa.
 
Rafiki yangu anadai eti wana health information yote kukuhusu kwenye data base kwa iyo hawavai gloves. Nikamuambia iyo si sababu.
Nahitaji hiyo chanjo, inatolewa hospitali yoyote?
 
Mwisho mtakuja kusifia wanatumia gloves moja siku nzima mkidhani ni sifa
 
umenikumbusha dr bingwa mmoja hapo mwanza alipomkaripia nesi aliyetaka kunichukua vipimo usiku wa manane,na kumwambia huyu ana harisha na kazi tuliyonayo hapa ni kumpa drip na dawa aache kuharisha, wewe unataka kumtoboa uchukue damu,nani kakufundisha hivyo.vipimo utachukua kesho.Akamwambia aache haraka.
dr mwingine siku nyingine nimemueleza jinsi ninavyojisikia mara pa ananiambia unaonaje tukikupima HIV,Nikamwambia hujanipa ushauri nasaha unataka upime HIV,nikamwambia do you know the meaning of VCT,(voluntary concelling and testing)lakini wewe unataka ukimbilie kwenye Test,bila concelling,nikaishia kumwambia kazi njema.
kwaiyo wewe mtoa uzi mpaka umeandika haya inawezekana kuna mambo umeyaona na umeyapitia,there is a gap,bad gap kwa hawa wataalamu wa afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…