Najiulizaga swali hili

Ungeandika na umri wako ingesaidia kutoa maoni yaliyo sahihi zaidi
 

Natamani Watu wôte wangekuwa kama Mimi Wala kusingekuwa na kugombana gombana. Au kuoneana wivu.

Au kulazimishana lazimishana mambo yàani kîla Mtu awe na Uhuru wa maonî yake
 
Watu weusi hasa tanzanians hatu amini katika fikra huru isipo tuna kuwa tuna amini katika fikra za kusomea/fikra zilozo tokana na fikra za watu wengine hasa fikra za watu weupe ndizo huonekana sahihi kwasababu tokea darasa la.kwanza wame kalilishwa hivyo

Kwa mfano.

Nirahisi kumwambia mtanzania kwamba mlima Kilimanjaro uligunduliwa na mzungu lakini sio wachaga au wamasai au waarusha kwasababu wamefundishwa hivyo

Na Ni rahisi kuwaambia wa Tanzania kwamba safu za milima living stone zili gunduliwa na living stone

lakini si rahisi kuwaambia ziligunduliwa na wakinga na wanya kyusa be for

Hii yote ni kwasababu walifundishwa hivyo mashuleni

Kwahiyo huenda wewe nimtu unaye ifikirisha Sana hakiri yako kiasi kwamba unavumbua vitu ambavyo ukiwa ambia watu hapa jf hukuona Kama haunazo lakini nikinyume chake

Na hii yote ni Kwasababu wewe Ni mtanzania lakini vitu hivyo hivyo angevisema Trump/mzungu yeyote vingeku balika kwa 100%

Nakumbuka Kuna nyuzi yako moja Kama sikosei ushawai kuandika.kwamba binadamu nimifugo Kama mifugo mingine

Haikuwa rahisi watu wengi kukuelewa ila.ulikuwa sahihi kwa sababu zisizo eleweka kwani hazikuwai kuzungumzwa popote kwenye madatasa yetu

So your the great thinker maybe that's why una wapinzani wengi kwasababu unafikiri nje ya ulivyo kalilishwa nawengi walivyo kalilishwa mkuu
 
Sasa kwa nini wachukulie hiyo ishu personal.

Mfano, wazungu tukitoa maoni yetu juu yao hawaumii. Lakini wao wakitoa maoni yao juu yetu Waafrika wengi wanaumia. Hii inasababishwa na nini?
Nani amekudanganya haya? Kwamba wazungu hawaumii?

Ni kwanini mnahangaika humu JF kutukana Waafrika kila uchwao?

Chuki?
======
Unasema wazungu hawaumii, tueleze sababu zao za kutokuumia?
 



Wewe UPO hatua ya juu ya Civilization ambayo unajiongoza kuanzia ndani yako na sio nje yako.


Kuhusu majina unayowapa watu ngoja tumsubiri binti Kimosso
 
Nani amekudanganya haya? Kwamba wazungu hawaumii?

Ni kwanini mnahangaika humu JF kutukana Waafrika kila uchwao?

Chuki?
======
Unasema wazungu hawaumii, tueleze sababu zao za kutokuumia?

Kwa ambao nimekutana nao hawajali kuhusu Maoni ya Waafrika.
Ingawaje siô wôte.

Waafrika wengi wetu tumejitambulisha Kwa mambo ya kijinga
 
Mkuu hayo ni mamb yakidunia,binadam hatufanan japo wte tumeumbwa ila ishi katik njia ipasayo na vile ulivyo usijibase kwkujion labda upo sahih.binadam hatujakamilika
 
Ni wewe jinsi unavyojiona ndani mwako. Ni ishara ya utoshelevu wa ndani pia yawezekana ni ukomavu mkubwa lakini pia malezi. Umelelewa kwenye typical Swahili culture iliyojaa mzaha na mchangamano mkubwa na watu tangu utoto? Ni tabia za extroverts watu wasiojiangalia sana na wenye michangamano mikubwa na watu. Umezoea utani kutania na kutaniwa. Kwa ujumla hii ni personality nzuri sana inakupa urahisi wa kuishi na watu na kuwatawala pia kuwa na amani na watu hata kupendwa pia. Watu wa jinsi hii huonekana wenye bahati, huwa na marafiki wengi na huweza kuwa viongozi bila kuchoshwa au kuudhiwa na maoni anuai ya watu. Hongera kama upo hapo ila kuwa mwangalifu usiwe easygoing na insensitive kwa masuala ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…