Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
We chart njia nzur ya kujiunga bila makando kando ni unaingia sign with other option kisha chagua facebook rahisi na salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina, nambaUtambulisho halisi mfano...
NInayo Simu Nimenunua China Ilmekuja Na Hiyo Wechat Japo Sijajiungawe unatumia?
Why not ninaitumia sana kuwasiliana na sellers napoagiza bidhaa uchinawe unatumia wechat?
Njia rahis fuata hatua stahiki utajoin tumia option unayoona nirahisi kwako sasa ukiwa hapa nakusaidiajeNisaidie kujoin
We hujui tu....Njia rahis fuata hatua stahiki utajoin tumia option unayoona nirahisi kwako sasa ukiwa hapa nakusaidiaje
Asante kaka shukran , naimani ulifanikiwa ila sisi tunaitumia wechart kulogin na soko la pidou dou kununua vitu online sijui unanielewa lakinWe hujui tu....
Yaani wanasema bila kuscan basi nitafute mtu ambaye anatumia wechat kisha nimwambie awasiliana na customer care awaambie upumbavu gani sijui.... Nimesahau kidogo.