Najivunia sana! Kuwa na Mke mwenye AKILI...

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Kupata mke mwenye akili na mwenye kujiheshimu ni jambo la kumshukuru MUNGU!!

Ninafurahia sana kuwa na mke mwenye busara, kujiheshimu kwingi na akili za kutosha!

Kipimo cha haya yote ni jinsi anavyozikabili changamoto za kimaisha na kupambanua mambo kwa utashi mkubwa!

Go on honey! Just Go on!! your Man(me) loves you so much!!

Wenye wake zenu humu..
Mnajivunia nini kwa wake zenu?

kina watu8 Judgement Arushaone, figganigga Filipo Erickb52 Kaizer Mr Rocky Mwanyasi mshana jr....

Na wanaume wengine...
whats up with ur wives?

CC: kwa ba mkwe Asprin
 
Last edited by a moderator:
Huyu huyu shansarie au mwingine
najivunia kuwa na my dear wife na nampenda maana ana busara na hekima na mwepesi kukabiliana na changamoto za maisha
Anaheshimu na ananiheshimu kwa kujua kuwa yupo kwa ajili yangu
nampenda na ananipenda na anajisikia fahari ya kip[ekee kuwa na mimi
copy watu8 na BAK
 
Last edited by a moderator:

yah! ni huyu huyu shansarie.. kiukweli nina kila sababu ya kujivunia kuwa nae.

hongera sana pia, kwa kuwa na mke mwema..
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mwanamke bora kama marejesho! She is everthing to me! Only and only wife!
Proud to be with you Darling!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…