Najivunia sana! Kuwa na Mke mwenye AKILI...

Blaki Womani mi ni msemaji tuu ila si mtetekelezaji na my wife wangu anajua hilo
Upo dear unaendeleaje na vumbi letu na mgao wa umeme Arachuga maana mwendo wa vibatari unatuhusu sana

eehhh ndivyo unavyodanganya akisoma katikati ya mstari anagundua sema hataki BP/sheli
nipo yaani acha kabisa huu mgao unaumiza sana laiti Muhongo angelijua vibatari vinaumiza pua
 
Kwani yeye ana shida nyumbani kwake si kuna generator la tanesco liko pale linawaka 24hrs
pia line yake hata hivyo haikatwi maana anakaa mtaa wa wenye nazo shida ni kwa sisi watumia vibatari
Si umewasikia wameongeza bei za umeme ili ukishindwa chako kitakuwa kibatari maisha yako yote uugue vifua na TB sawa sawa
 
unavyoendelea kuongea hivyo unanizidishia hasira maana nimepataa hasara kubwa ile day one hadi sitaki kusikia hilo shirika ......wakubwa wanafaidi kila kona
 
Back
Top Bottom