GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Najua tu kuna wana Simba SC watanichukia kwa hili, ila ukweli ni kwamba TFF, TPLB na Simba SC wanaionea KMC FC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni mpira wa hivyo, hata Azam wana haki ya kucheza CAFCL mnaposema hawaiwezi unataka kusema Simba na Yanga ziliweza tu pasipo kushiriki mara kwa mara na kutolewa raundi za awali? Kupata uzoefu kuna anzia na kushiriki mara kwa mara, na hata kujifunza hutokana na kushiriki mara kwa mara. Hizo Simba na Yanga ina miaka kibao zinaishia raundi ya awali zilikuwa zinazidiwa hadi na timu za Sudan na Zambia lakini leo hii mnaowaona wengine hawastahili kwenda huko. Acheni hayo mamboAzama aende cafcc kwa usalama wake
Huku Cafcl hapa wezi kabisa
Azam mpole sana aendelee kutafuta uzoefu huku cafcc afike hata nusu final ajue in and out za African football Kisha ndio akaribishwe kwa wakubwaAcheni mpira wa hivyo, hata Azam wana haki ya kucheza CAFCL mnaposema hawaiwezi unataka kusema Simba na Yanga ziliweza tu pasipo kushiriki mara kwa mara na kutolewa raundi za awali? Kupata uzoefu kuna anzia na kushiriki mara kwa mara, na hata kujifunza hutokana na kushiriki mara kwa mara. Hizo Simba na Yanga ina miaka kibao zinaishia raundi ya awali zilikuwa zinazidiwa hadi na timu za Sudan na Zambia lakini leo hii mnaowaona wengine hawastahili kwenda huko. Acheni hayo mambo
Azam mpole sana aendelee kutafuta uzoefu huku cafcc afike hata nusu final ajue in and out za African football Kisha ndio akaribishwe kwa wakubwa
Mguu Chuma kiatu Chuma game inapigwa hadi unaona imepigwa viwanja vinawaka moto cheche zinaruka jasho la dam linamwagika
Azam hawezi kabisa imagine kapigwa kwenye muungano kapigwa na kwenye ligi na Simba nyongenyonge
Ila Simba SC inayotaka Kubebwa waziwazi na TFF pamoja na TPLB ndiyo inaweza na huko ndiko kwenye Usalama Kwake?Azama aende cafcc kwa usalama wake
Huku Cafcl hapa wezi kabisa
Nakupongeza kwa 100% kwa Madini yako haya ila bahata mbaya umepoteza muda Kumuelimisha Mvivu wa Kufikiria.Acheni mpira wa hivyo, hata Azam wana haki ya kucheza CAFCL mnaposema hawaiwezi unataka kusema Simba na Yanga ziliweza tu pasipo kushiriki mara kwa mara na kutolewa raundi za awali? Kupata uzoefu kuna anzia na kushiriki mara kwa mara, na hata kujifunza hutokana na kushiriki mara kwa mara. Hizo Simba na Yanga ina miaka kibao zinaishia raundi ya awali zilikuwa zinazidiwa hadi na timu za Sudan na Zambia lakini leo hii mnaowaona wengine hawastahili kwenda huko. Acheni hayo mambo
Mtu wa Mpira na Mwanamichezo kamwe hawezi kuwa na Mawazo ya Kimasikini kama haya. Bado tuna Safari ndefu.Azam mpole sana aendelee kutafuta uzoefu huku cafcc afike hata nusu final ajue in and out za African football Kisha ndio akaribishwe kwa wakubwa
Mguu Chuma kiatu Chuma game inapigwa hadi unaona imepigwa viwanja vinawaka moto cheche zinaruka jasho la dam linamwagika
Azam hawezi kabisa imagine kapigwa kwenye muungano kapigwa na kwenye ligi na Simba nyongenyonge
Asante kwa haya Madini yako ila nasikitika unapoteza muda wako Kumuelimisha Masikini na Mvivu wa Kufikiri huyo.Azam ni wapole kwenye lipi?
Mara ngapi Yanga na Simba zinaangaika kupata nafasi ya kucheza hatua ya makundi iwe CAFCC au CAFCL na zilikuwa zinashindwa kwanini leo hii Azam wadidimizwe kisa usimba na uyanga? Mafanikio ya siku siku za hivi karibuni msiojione ndio mnastahili kuwanyima wengine haki. Na kwa mentality hizi soka la Tanzania itaoshia hivi kwa Simba na Yamga. Viongozi, mashabiki na wadau wengine hawataki kuona timu zingine zinafanikiwa nje ya Simba na Yanga. Wenzetu ni swala la kawaida kuona Pyramids anaenda kucheza klabu bingwa mbele ya Zamalek. Au kule Africa kusina Orlando na Kaizer chief zikishindwa kupata nafasi ya kucheza klabu bingwa. Ila huku sisi tunaakili za kufosi lazima Simba na Yanga utafikiri ziliundwa na kufanukiwa papo hapo kumbe zimeanza kifanikiwa miaka ya 2000
Wapo sahihi ki vipi kanuni zina ruhusu timu kutoa taarifa ya mabadiliko ya uwanja siku saba kabla ya mechiMnajisumbua bure tu na habari zisizo na uhakika. Jana Afisa habari wa Bodi ya Ligi, Karim Boimanda, akihojiwa na Oscar Oscar ktk kipindi cha jioni cha wasafi, ameelezea kila kitu. Simba wapo sahihi kabisa na hakuna kanuni yoyote waliyokiuka. Taarifa zilitoka mapema na KMC walifikishiwa taarifa na wakakubali. Wala Bodi ya Ligi haikuwahi kupokea taarifa ya kutumika kwa uwanja wa Meja Isamuyo ktk mechi ya tarehe 25 kati ya Simba na KMC.
Huyo Chukuchuku, Afisa habari wa KMC huenda hakupata taarifa kutoka kwa uongozi wake. Nimeshindwa kuweka link ya kipindi cha jana kinachoitwa "Jana na Leo" cha Wasafi. Itafute Youtube.
Simba na Yanga zimeanza kufanikiwa miaka ya 70's master hizi team zimepita mawimbi milima mabonde Giza Totoro tope zito kero fujo na Kila aina ya mateso na bado zipoAzam ni wapole kwenye lipi?
Mara ngapi Yanga na Simba zinaangaika kupata nafasi ya kucheza hatua ya makundi iwe CAFCC au CAFCL na zilikuwa zinashindwa kwanini leo hii Azam wadidimizwe kisa usimba na uyanga? Mafanikio ya siku za hivi karibuni msijione ndio mnastahili kuwanyima wengine haki. Na kwa mentality hizi soka la Tanzania itaishia hivi kwa Simba na Yamga. Viongozi, mashabiki na wadau wengine hawataki kuona timu zingine zinafanikiwa nje ya Simba na Yanga. Wenzetu ni swala la kawaida kuona Pyramids anaenda kucheza klabu bingwa mbele ya Zamalek. Au kule Africa kusina Orlando na Kaizer chief zikishindwa kupata nafasi ya kucheza klabu bingwa. Ila huku sisi tunaakili za kufosi lazima iwe Simba na Yanga utafikiri ziliundwa na kufanikiwa papo hapo kumbe zimeanza kifanikiwa miaka ya 2000
Ndefu sana na hakuna namna lazima tuisafiriMtu wa Mpira na Mwanamichezo kamwe hawezi kuwa na Mawazo ya Kimasikini kama haya. Bado tuna Safari ndefu.
Wapi uliona pameandikwa Simba atachezea uwanja Meja Isamuyo ktk mechi ya tarehe 25 kati ya Simba na KMC. 🙂Wapo sahihi ki vipi kanuni zina ruhusu timu kutoa taarifa ya mabadiliko ya uwanja siku saba kabla ya mechi