Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
picha zenyewe umepiga na yebo yebo utampata nani, wanawake wa siku hizi wanaangalia wallet then mauzo....usmart wahitajika bana
I suspect huyu jamaa sio mwenye hilo jina hapo juu na ameileta hii thread hapa kwa dhumuni la kumchafua muhusika tu. MODs huyu jamaa atoe uthibitisho kuwa ndiye mwenye hilo jina, akishindwa thread ipigwe chini!
Nina wasiwasi na maisha yangu,nina miaka28hadi sasa sina mchumba,Nipo chuo kwa sasa,kila mwanamke nikimtongoza hataki kabisa,nahisi kama vile nina mkosi,naomba dada anayejua kupenda anitoe nuksi,nina mapenzi ila sina pa kuyamwaga,::0712336687:::
haiwezekan ukose mwanamke kaka, hata kama ni domo zege kiasi gan, siku wanawake wala si wa kupiga sound kama zaman had akajifikirie. Siku iz unasema live that let make a deal, bas kwisha kazi. Ila wewe nahis ulisoma seminary sasa so umekaa kilokole sana. Changamka utawapat weng tu
we ishia hapo hapo hakuna mtu aliyesoma seminary akawa boya.
Nina wasiwasi na maisha yangu,nina miaka28hadi sasa sina mchumba,Nipo chuo kwa sasa,kila mwanamke nikimtongoza hataki kabisa,nahisi kama vile nina mkosi,naomba dada anayejua kupenda anitoe nuksi,nina mapenzi ila sina pa kuyamwaga,::0712336687:::
I suspect huyu jamaa sio mwenye hilo jina hapo juu na ameileta hii thread hapa kwa dhumuni la kumchafua muhusika tu. MODs huyu jamaa atoe uthibitisho kuwa ndiye mwenye hilo jina, akishindwa thread ipigwe chini!
Asisahau kupaka poda na kujipulizia pafyumu ya cobra!! Heheheheheheheheeh!Mkuu kuna something wrong hujatuambia wanawake wote hawa umekosa kabisaaa???kwanza wewe unataka wazuri wazuri au wa aina gani??jiweke simple na uwe safi muda wote, piga pamba na vaa vizuri alafu uje kutoa jibu, na fanya mazoezi vile vile
haki yako,umekaa kisukuma/kirombo sana