Najizuia sana kuwadharau watu waliosoma masomo ya Art

Najizuia sana kuwadharau watu waliosoma masomo ya Art

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Yaani nikisikia sijui Profesa fulani, halafu nikafuatilia nikakuta ni wa eti Kiswahili, sijui Tashbiha, huwa nashindwa kumpa heshima sawa na Mwanasayansi.

Mungu anibariki nipunguze kuwadharau. Kwa mbali nawaheshimu waliosoma Uchumi na Sheria.
 
Yaan unakuta profesa hajui kuunga gmail account! Nishakutana nao sana..ila mwambie kuhusu mti atauchambua mpaka utasema aliutengeneza yeye
 
Uzi huu utashambuliwa sana na wanawake ndo Nguin,

Pia nawaheshimu sana waliosoma sayansi
 
Yaan nikisikia sijui profesa fulani, alafu nikafuatilia nikakuta ni wa eti Kiswahili, sijui Tashbiha, uwa nashindwa kumpa heshima sawa na Mwanasayansi,

Mungu anibariki nipunguze kuwadharau,

Kwa mbaali nawaheshimu waliosoma Uchumi na Sheria
Iq za wasomi wa masomo mbalimbali vyuo vikuu.
Screenshot_20191212-213745_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20191212-213741_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20191212-213733_Samsung Internet.jpg
 
Yaan nikisikia sijui profesa fulani, alafu nikafuatilia nikakuta ni wa eti Kiswahili, sijui Tashbiha, uwa nashindwa kumpa heshima sawa na Mwanasayansi,

Mungu anibariki nipunguze kuwadharau,

Kwa mbaali nawaheshimu waliosoma Uchumi na Sheria

Mimi namdharau zaidi anaedai ana PhD ya maganda ya korosho. Ni bora aliesoma Masters yaTheology au Masters of Science in Linguistics nitamheshimu zaidi.
 
Niwe mkweli, honestly speaking, NAMDHARAU SANA ANAEJISIFIA KUSOMA SAYANSI HALAFU HAJAWAHI
KUTENGENEZA HATA KA-MOTA au KA-MTAMBO KOKOTE!!

Kuna KUSOMA SAYANSI na
KUSOMA HISTORIA YA SAYANSI


kibongo bongo WENGI WANASOMA HISTORIA YA SAYANSI

Goite
 
Back
Top Bottom