britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
LwaitamaYaan unakuta profesa hajui kuunga gmail account! Nishakutana nao sana..ila mwambie kuhusu mti atauchambua mpaka utasema aliutengeneza yeye
Iq za wasomi wa masomo mbalimbali vyuo vikuu.Yaan nikisikia sijui profesa fulani, alafu nikafuatilia nikakuta ni wa eti Kiswahili, sijui Tashbiha, uwa nashindwa kumpa heshima sawa na Mwanasayansi,
Mungu anibariki nipunguze kuwadharau,
Kwa mbaali nawaheshimu waliosoma Uchumi na Sheria
Yaan nikisikia sijui profesa fulani, alafu nikafuatilia nikakuta ni wa eti Kiswahili, sijui Tashbiha, uwa nashindwa kumpa heshima sawa na Mwanasayansi,
Mungu anibariki nipunguze kuwadharau,
Kwa mbaali nawaheshimu waliosoma Uchumi na Sheria
Kuna uhusiano gani na maisha yetu ya kila siku???Yaan nikisikia sijui profesa fulani, alafu nikafuatilia nikakuta ni wa eti Kiswahili, sijui Tashbiha, uwa nashindwa kumpa heshima sawa na Mwanasayansi,
Mungu anibariki nipunguze kuwadharau,
Kwa mbaali nawaheshimu waliosoma Uchumi na Sheria