Mkuu hebu kwanza tuambie wewe umesoma nini, huenda ulichosoma kika akisi attitude yako towards arts. Ukishafanya hivyo nitajadili.Yaani nikisikia sijui Profesa fulani, alafu nikafuatilia nikakuta ni wa eti Kiswahili, sijui Tashbiha, huwa nashindwa kumpa heshima sawa na Mwanasayansi.
Mungu anibariki nipunguze kuwadharau. Kwa mbali nawaheshimu waliosoma Uchumi na Sheria.
Uache kudharau watu ili nawe usidharauliwe na wazungu....Yaani nikisikia sijui Profesa fulani, alafu nikafuatilia nikakuta ni wa eti Kiswahili, sijui Tashbiha, huwa nashindwa kumpa heshima sawa na Mwanasayansi.
Mungu anibariki nipunguze kuwadharau. Kwa mbali nawaheshimu waliosoma Uchumi na Sheria.
Mi nimesoma Chemical and Processing Engineering, mwaka 1983 hadi 1986Mkuu hebu kwanza tuambie wewe umesoma nini, huenda ulichosoma kika akisi attitude yako towards arts. Ukishafanya hivyo nitajadili.
Sasa walosoma sheria nao mbona msingi wao ni masomo ya arts vile vile?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itakuwa moja ya ajenda katika vikao vya mapitio. Take it!.Choices za masomo level ya secondary ziongezeke watoto/vijana wa pursue career wanazozipenda tangia wadogo
Huenda hayo masomo yako yame-kubias. Engineers wachache nilio interact nao kikazi wako very structured kwenye utendaji wao, na arts nyingi ni less structured. Arts ina fields nyingi na zote zina contribution katika maisha yetu. Ukisha fanya kazi zako kawaida hupenda kujipumzisha, jiulize ni fani gani hukuburudisha-mara nyingi na kwa watu wengi ni arts. Mawasiliano-hufanyika kwa kutumia lugha na kwa Tanzania kwa mfano ni kingereza na kiswahili. Kuna miito ya kufundisha kwa kutumia lugha ya kiswahili huko mbeleni-ni hao hao maprofessor wa kiswahili wanao weza kulifanikisha hilo. Umuhimu wa wachumi na wanasheria hauhitaji kuongelewa zaidi. Kama uko kwenye science ambayo inapeleka product zake kwa communities kuelewa soko likoje unahitaji social scientists. Upokeaji wa chanjo ya polio duniani ni mfano mzuri-kule Nigeria mambo yalikwama hadi watu wa sociology and anthropology walipofungua njia ndio madakitari wakafanikiwa.Mi nimesoma Chemical and Processing Engineering, mwaka 1983 hadi 1986
Hii itakuwa moja ya ajenda katika vikao vya mapitio. Take it!.
Nililazimishwa science ilhali ubongo wangu ni Mixed Art's, Technology na Communication.
Huwa na kauli moja kwamba Art inaibeba Science kwa 70 asilimia.Huenda hayo masomo yako yame-kubias. Engineers wachache nilio interact nao kikazi wako very structured kwenye utendaji wao, na arts nyingi ni less structured. Arts ina fields nyingi na zote zina contribution katika maisha yetu. Ukisha fanya kazi zako kawaida hupenda kujipumzisha, jiulize ni fani gani hukuburudisha-mara nyingi na kwa watu wengi ni arts. Mawasiliano-hufanyika kwa kutumia lugha na kwa Tanzania kwa mfano ni kingereza na kiswahili. Kuna miito ya kufundisha kwa kutumia lugha ya kiswahili huko mbeleni-ni hao hao maprofessor wa kiswahili wanao weza kulifanikisha hilo. Umuhimu wa wachumi na wanasheria hauhitaji kuongelewa zaidi. Kama uko kwenye science ambayo inapeleka product zake kwa communities kuelewa soko likoje unahitaji social scientists. Upokeaji wa chanjo ya polio duniani ni mfano mzuri-kule Nigeria mambo yalikwama hadi watu wa sociology and anthropology walipofungua njia ndio madakitari wakafanikiwa.
Nimesoma science na baadae program ya maendeleo ya kilimo (arts), hivyo kwa kiasi nina uwelewa wa kutosha unaonifanya niwathamini watu wa arts, ingawa enzi hizo tuliona wao si kitu na kuwaita nguini.
Hapo juu ulitanabaisha hoja moja murua kabisa. Kupitia hoja hiyo inaweza kutumika katika mpango mkakati kurahisisha upitishwaji wa suala unalotazamia (FEB/ORG) kama tulivyozungumza awali .......Vikao vya mapitio ndio nini mkuu?? LOL..kuna waliograduate recently Ma accountant, Economists,Psychologist degrees,wangeweza kupelekwa kwenye shule za Secondary. na kufundisha hayo masomo...mie nashangaa hakuna ajira wakati fursa ndio kama hizo za kufundisha secondary zimejaa ??
Yaani we umenena point...! Kasoma sayansi lakini hajui Cha kufanyia. Mi Niko ofisini hapa na Art yangu napiga kazi Kila Mara na visayansi vyao wanakuja kujazana hapa[emoji41][emoji41][emoji41]Niwe mkweli, honestly speaking, NAMDHARAU SANA ANAEJISIFIA KUSOMA SAYANSI HALAFU HAJAWAHI
KUTENGENEZA HATA KA-MOTA au KA-MTAMBO KOKOTE!!
Kuna KUSOMA SAYANSI na
KUSOMA HISTORIA YA SAYANSI
kibongo bongo WENGI WANASOMA HISTORIA YA SAYANSI
Goite
Kuna nati zitakuwa zimeachia,jisogeze kwa washauri nasihi (artists) utibiwe.Yaani nikisikia sijui Profesa fulani, halafu nikafuatilia nikakuta ni wa eti Kiswahili, sijui Tashbiha, huwa nashindwa kumpa heshima sawa na Mwanasayansi.
Mungu anibariki nipunguze kuwadharau. Kwa mbali nawaheshimu waliosoma Uchumi na Sheria.