Elections 2010 Najua baadhi inawauma lakini huyu ataendelea kuwepo

filth. Throw it in a dust bin.
 
Huyu inawezekana siyo mgeni hapa ila ka-register upya ili kutoa hilo dukuduku lake, inabidi tumwombe mtaalamu atuangalizie IP Address kama haijajirudia. Lol!
 


Alafu kuwa mwangalifu na kauli zako, nani ampe nchi huyu jamaa anaishi na mke wa mtu, hana ndoa! kama ameshindwa kufuata maadili tuu ya upadre, maadili ya ndoa atawafundisha nini watanzania? nahisi hata huyu kimada anaeishi nae atamkacha akiingia Ikulu, sina kampeni juu ya ccm bali that is fact, chadema wangemsimamisha mgombea mwingine sawa but alie asi upadre, akaasi ndoa na mbaya zaidi sasayuko na hawara no no
 

Nikweli na hata wao wanakubali mambo ya huyu bwana, tazama hiyo link

"https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/75084-zitto-ccm-imejenga-uchumi-imara-nchini.html
 

murder machete style..........
 
Wana JF, huyu bwana hajui-then hajui kwamba yeye hajui, so Let me conclude that apuuzwe ili tudiscuss issues nyingine za ku-reshufle nchi hii. La kama mtataka tuendelee kumjadilia issue yake-lazma tumpime kwa DNA tujue kama ni ki-tanzania au???

 
Wakati mjadala ukiendelea, naomba kutoa angalizo moja,

Wajemeni hebu tuweni na shukrani sio kwa mazuri tuu, bali hata mabaya, au yale ambayo hatukubaliani nayo.

Hebu angalieni thanks alizopewa mtoa mada
The Following 2 Users Say Thank You to Jembejipya For This Useful Post:

Pasco (Today), TandaleOne (Yesterday)

Na hapa hebu oneni shukrani alizopewa mmoja wa wachangiaji mada.
The Following 19 Users Say Thank You to Kiranga For This Useful Post:

BornTown (Yesterday), Domhome (Yesterday), Eeka Mangi (Yesterday), Gaijin (Yesterday), imma (Yesterday), Iza (Yesterday), Jungumawe (Yesterday), kasimba123 (Today), Makanyaga (Yesterday), MANI (Yesterday), Mpendanchi-2 (Yesterday), Mutu (Yesterday), Mwalimu (Yesterday), Myamba (Yesterday), Negotiator (Yesterday), Pasco (Today), RockSpider (Yesterday), Safari_ni_Safari (Yesterday), Wa Ndima (Yesterday)​

Nashauri, tuige mfano wa Mzee Mwanakijiji kwenye thead zake, hutoa thanks kwa kila mchangiaji, regardless ni pumba gani amemwaga. Yaani tushukuru kwa yote, tumshukuru mleta mchele kwa kutupatia chakula, lakini pia tumshukuru na mleta pumba, maana angalau zitapepetwa kama pumba hii iliyoletwa na Jembejipya na jinsi ilivyopepetwa na Kiranga na kubaki chenga tupu, hivyo next time hilo jembejipya kabla halijaleta tena pumba humu, litaanza kupepeta lenyewe ili kuja kama kuna mchele kabla halijataka kulisha watu chenga.
 
BON

To which planet is this kind of man belong, i dont belive that while the WORLD is moving 4foward there some ppl who are still stagnant and consevative?. Lets THINK of people who are about to look and agree changes..........
Which kind of president who hat mdahalo? Think of DR. SLAA THE PRESIDENT 2010-2015.
 
vipi kagoda?
 

Ni wale wale! Hawana mchango wowote kwa nchi hii hadi uchaguzi. Wanafikilia kuwaibia watanzania kwa ujanja wa kura. Mwaka huu hatudanganyiki.

Asante mkuu kwa kuliona hilo. Nahisi huyu ni rafiki yake Malaria sugu ameamua kujiunga JF ili aongeze nguvu, lakini bahati mbaya wao na jk WAO imeshakula kwao.
 
Kwani wazee.....wanajf wote ni wafuasi wa dr.slaa?manake naona mtu akiwaongelea wagombea wengine mnamvamia balaaa...inakuaje hapo
 
Yeah..ameyafanya hayo yote ktk DUNIA YA KUSADIKIKA au usingizini..walah mbavu zangu wajameni
Wallah mbavu zangu jamaniiiiii, kweli humu kuna wanazi.
i thought hayo yote ni ndani ya majukumu ya raisi?
kama ni hayop tu aliyoyafanya basi kazi ipo kwani hata housegirl wangu akipewa ikulu anaweza fanya zaidi ya hayo. ushabiki umezidi hadi mnachekesha watuuu.
mamaaaa mbuvu zangu wallah
 

Kuchanganyikiwa kubaya..L:becky:L
 
sasa una haja gani kutumia lugha mbaya hivyo, mi naona haikusaidii kuongeza kura bali inapunguza bora ubadilishe attitude, mbona hata wewe fisadi tu kwani una uwezo wa kula mara tatu na watanzania wengi tu vijijini na mijini hawana fursa hiyo, huo ni ufisadi waainaingine.

bajaji ni bora kuliko kuikosa kabisa, wote hatuwezi kuwa na shangingi,
 
6. kama vile haitoshi hapakwetu arusha, kumekuwa na traffic ya hatari hii ni dalili uchumi umeongezeka sana kwa watu wananchi wenye kujishughulisha na kutafuta na waliosoma vizuri.

7. Uongozi unatokana na Mungu, huyu JK apewe nafasi ya kumalizia aliyoahidi na kuyapanga.

8. Katika kampeni anaeleza sera zake tu hatukani wala kutaja taja majina ya wapinzani.

9. Nikiongozi pekee amewezakusuluhisha mgogoro wa Zanzibar uliosumbua kwa muda mrefu.
 

Lol kama kawaida yake alijua HILO NALO NENO.!

lol
 

Tehe eheheheteteheheh.. jamaa msanii sana mi naona badala ya kugombea urais angegombea u-zecomed!!
 
Kwani wazee.....wanajf wote ni wafuasi wa dr.slaa?manake naona mtu akiwaongelea wagombea wengine mnamvamia balaaa...inakuaje hapo

Swala si wafuasi wa nani...
Wengi ni wazalendo wanaojua mbivu na mbichi.. Mtanzania yeyote mwenye uzalendo anayejua na kufuatilia mambo mbalimbali nchini hawezi kamwe kumshabikia kikwete. :eyebrows:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…