Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
JAKAYA MRISHO KIKWETE
1.Mtanzania pekee aliyewafanya wapinzani uchwara walie kuomba uongozi.
2.Mtu pekee ambaye mafanikio yake kimaendeleo yanapingwa kwa porojo.(bila takwimu)
3.Mtu pekee katika Tanzania ya leo aliyekubali kuacha sheria iwashughulike wanadhirifu wa mali za umma.
4.Rais wa Tanzania 2005 - 2015.
5.Aliyegeuza ilani ya CCM na mafanikio yake kuwa kama moto ambao kila mpinzani anaogopa kuukaribia.
jakaya mrisho kikwete
1.mtanzania pekee aliyewafanya wapinzani uchwara walie kuomba uongozi.
2.mtu pekee ambaye mafanikio yake kimaendeleo yanapingwa kwa porojo.(bila takwimu)
3.mtu pekee katika tanzania ya leo aliyekubali kuacha sheria iwashughulike wanadhirifu wa mali za umma.
4.rais wa tanzania 2005 - 2015.
5.aliyegeuza ilani ya ccm na mafanikio yake kuwa kama moto ambao kila mpinzani anaogopa kuukaribia.