Najua haiwahusu ila Happy Birthday To Me!

Utajua wewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
928
Reaction score
1,836
Habari wanaJF,

Siku ya leo miaka 22 nyuma Dunia ilipata MBEBA MAONO.

Nikiwa kama kijana wa makamo na mwenye mchango mkubwa kwa taifa hili nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa.

Najua haiwahusu ila ndio hivyo tena hamna cha kufanya. Alichokipenda Mungu wewe Mwanadamu huwezi kukichukia.
Amin,amin nakwambia kuzaliwa kwangu imekuwa muarubaini mkubwa sana kwa kukomesha ujinga na umaskini.

HAPPY BIRTHDAY TO ME.
 
A Happy birthday mwanangu ,msalimie mjukuu
 
Kaka ukishajipata enjoy life .
young saint
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Oaaa weee hapo umetisha sana
 
Happy birthday 🎈 πŸŽ‚

Ila wewe sio kijana wa makamo wewe ni kijana mdogo.

Vijana wa makamo nikama kina sisi ambao tuna miongo minne na usheeen😊😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…