Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
- Thread starter
- #21
Mkuu tenga muda wa kuenjoyNa mimi tarehe 7/12 ni barthday yangu...
Na mara nyingi huwa inanipita tuu hakuna wa kunikumbusha...
Naomba ni wish basi
Mimi hadi birthday ya dogo naikumbuka