Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
- Thread starter
-
- #21
Mkuu tenga muda wa kuenjoyNa mimi tarehe 7/12 ni barthday yangu...
Na mara nyingi huwa inanipita tuu hakuna wa kunikumbusha...
Naomba ni wish basi
Mkuu umakamo wangu upo kwenye mchango wangu kwa jamiiHappy birthday š š
Ila wewe sio kijana wa makamo wewe ni kijana mdogo.
Vijana wa makamo nikama kina sisi ambao tuna miongo minne na usheeenšššš
Hapo sawaa mkuu naunga mkono hoja yako šMkuu umakamo wangu upo kwenye mchango wangu kwa jamii
Mkuu hapo nimekupata kifupi napenda sana watu wenye slogan za kipekee kama wwMkuu tenga muda wa kuenjoy
Mimi hadi birthday ya dogo naikumbuka
Asante mkuuMIMI HAINIHUSU Utajua wewe š (jokes)
HAPPY BIRTHDAY BIG BOY
Malizia unachotaka kusemakatoto ka elfu 2
Situmii keki nipe kitabu ningekushukuru sanaHappy birthday to you, cake tulete wapi? š
sawasawa.Situmii keki nipe kitabu ningekushukuru sana
Akili bado hazijarudi?Nipe namba za dada ako
Hayo ni majukumu ya mshangaziš¤£š¤£Na mimi tarehe 7/12 ni barthday yangu...
Na mara nyingi huwa inanipita tuu hakuna wa kunikumbusha...
Naomba ni wish basi
Asante hili neno limenigusa sanaMuumba Aendelee Kukujalia Afya ya Mifupa,,,Damu na Nyama.
Asante sana MkuuHappy birthday mdogooo. Muhimu sana kujipa furaha.
Huo utaratibu ni wauwanaume wako?Mwanaume unasherehekeaje birthday? Huu ni umama...