Najua kuna watakaonicheka kuwa mimi ni mzembe lakini muda mwingine inahitajika kupumzika

Najua kuna watakaonicheka kuwa mimi ni mzembe lakini muda mwingine inahitajika kupumzika

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Wataalamu mpo? Kwema?

Niliwamisi sana.

Juzi bana nilitoka out na shemeji yenu mmoja hivi ambae ndio bado hatuna hata week 2, tulitoka weekend tulikunywa vinywaji kiasi baada ya kuchangamka akapendekeza twende kwake nikapumzike kwanza then ndio niende home kwangu kwakua kwake sio mbali na hapo tulipokua tunanywea vinywaji.

Basi baada ya kuondoka pale nikaona kweli nikapumzike kwake kwanza kidogo then ndio niende home, tulipofika kwake tulikaa kidogo kama robo saa, kilichofuata ilikua sio kupumzika tena, bali kulitokea mtanange mkali sana, game kali, yani kama huna pumzi unaweza ukazimia, kiukweli tulipelekana mpera mpera, inafikia sehemu ushacheka na nyavu zaidi ya mara tatu unadhani kwamba atasema amechoka lakini ndio wapi!!! Bado anataka, yaani ile siku nisingetumia uzoefu wangu kwenye haya mambo angenitoa nishai, mwisho wa siku game ikaisha salama lakini kila mmoja alikua hoi Bin Taabani.

Ikabidi tuu niage niondoke niende zangu home, nikamuacha bado amelala kitandani yani hata nguvu za kunisindikiza hakuwa nazo aiseee.

Mwendo wa boda boda dakika 30 nikafika home, huku kichwa changu kikiwaza nioge tuu nilale maana mzee nilihisi hadi bone marrow zimeisha, yani hadi nikawa nikikunja mguu unatoka mlio kama vyuma ambavyo havina grisi, nikaoga zangu fasta nikapanda kitandani nilale.

Ile nazima tuu taa nilale ikaingi mesaage "kuna duka nimelikuta liko wazi apa nanunua condom za kuja kutumia leo " hapo ni SAA 5 na nusu usiku, meseji inatoka kwa mpenzi wangu mwingine.

Nikaona chakufia nini!? Akifika hapo nje atagonga akichoka ataondoka, nikazima simu nikalala zangu.
 
Wataalamu mpo? Kwema?

Niliwamisi sana.

Juzi bana nilitoka out na shemeji yenu mmoja hivi ambae ndio bado hatuna hata week 2, tulitoka weekend tulikunywa vinywaji kiasi baada ya kuchangamka akapendekeza twende kwake nikapumzike kwanza then ndio niende home kwangu kwakua kwake sio mbali na hapo tulipokua tunanywea vinywaji.
Chakifia Nini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watu wanahisi ni
Screenshot_20200806-215949.jpg
 
😂😂 na ungemruhusu tu ndo ungeelewa ule usemi wa kufa kufaana unamaanisha nini..
lkn hii chai yako naona imekolezwa na uji sio chai tu..😅
 
Hapo naqbal umejiongeza Haujafanya uzembe wowte #blackslivematter [emoji1421][emoji1421][emoji1421][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji23][emoji23] na ungemruhusu tu ndo ungeelewa ule usemi wa kufa kufaana unamaanisha nini..
lkn hii chai yako naona imekolezwa na uji sio chai tu..[emoji28]
[emoji3][emoji3] chai ndio nini Sasa
 
Back
Top Bottom