nakazia hapa it's never too late anything can happen👿Ni mpango uliosukwa Ili kuhakikisha tunabaki watumwa kwa namna yoyote Ile ndo maana hapa tulipo tunaona kama ni too late ila everything is possible
Imekuwa ni agenda na mpango wa siri ili kuepuka vikwazo vya kimamlaka at early stage ila mpango unaenda sawa na hapa ulipo no turning back. Ni muda sasa tangu mbegu zetu za asili kupotea katika mzunguko baada ya mamlaka kuchezewa akili kwa kujua au kutokujua na kuruhusu wazungu kuteletea mbegu chotara ambazo hizo huzaa mara moja na baada ya hapo ukirudisha iyo mbegu shambani haiwezi tena kuota au wakati mwingine isizae kabisa hivyo wakulima kubaki wakilipa bila msaada.
Huu mpango ulichezwa vizuri na wazungu kuhakikisha wanazipoteza mbegu zetu za asili zilizokuwa zinavumilia ukame, zinatoa mazao mengi na hapo hapo mkulima anaweza chagua mbegu katika hayo mazao ambayo msimu unaofata hurudishwa shambani na kuota tena.
Walituaminisha mbegu zetu ni duni, hazizai ipasavyo, wakatuambia kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani ,mbegu zetu haziwezi kuhimili mabadiliko hayo hivyo mbegu zao (GMO) ndo suluhusho pekee. Wakatufanya watumwa kwa kutegemea mbegu zao, wakatuletea na mbolea zao ambazo bila kutumia hizo hupati mazao, mbolea hizo zikapelekea kuiharibu rutuba ya udongo hivyo tumejikuta tumebaki na ardhi usiyoweza kufanyia kazi bila kuweka mbegu ya mzungu na mbolea ya mzungu.
Wakulima wamebaki maskini wakitegemea mfumo huu ulioandaliwa rasmi kuwafanya watumwa katika ardhi yao wenyewe. Leo mbegu na mbolea hazigusiki, mkulima analia na serikali, serikali inalia na wazungu Ili kupata mbegu na mbolea.
Serikali zetu zimekosa watu wenye maono na upendo halisi kwa nchi yao inafika mahali nchi inauza wananchi wake kwa wazungu kuwafanya watumwa. Wazungu wanakuja na agenda zao za kujinufaisha, viongozi wanasaini mikataba bila kufikiria kwa undani mwisho wa siku wananchi wanabaki stranded kwenye maisha yao.
Nimefanikiwa kuzunguka na kupata mbegu za asili na kwa kuanza nimeotesha ekari 1000 za mahindi, ekari 1000 za maharage na ekari 1000 za alizeti. Nashukuru Mungu zimeota vizuri na wakati wa kuvuna ukifika regardless gharama zote zilizotumika nita package maavuno yote, kwenye mfumo wa 1kg, 5kg, 10kg, 25kg, 50kg na 100kg, lengo ni kuwapatia wakulima mbegu za asili kwa gharama ya shillingi elfu 1000 kwa kilo 1 na nyie mkienda kulima huko, mkivuna muhifadhi mbegu zenu Ili mwakani msirudi tena kutafuta mbegu. Mbegu Hizi zikifanikiwa kuuzwa kwa wakulima million moja naamini baada ya miaka 5 mbegu zetu zitakuwa zimerudi mashambani kwetu. Hii itasaidia kupunguza magonjwa na maradhi yanayosumbua sasa kwenye JAMII zetu yanayosababishwa na kutumia mbegu za GMO ikiwepo kansa na kisukari. Mikakati imeanza na aina tatu ya mbegu ila huku tuendako tunakuja mpaka na mbegu za mbogamboga aina zote zile za asili, migomba, karanga, ufuta, na nyingine nyingi tu ambazo zimepotea hata GenZ hawazijui wala hajawai kuziona.
Watakaoniunga mkono basi twende pamoja na wanaopinga pia subirini matokeo.
Matajiri na supplier wote wa GMO tusichukiane haya ni mapinduzi katika kilimo na hakuna mwingine wa kufanya zaidi yetu wenyewe.
Msiulize mashamba yako wapi maana sitawaambia wahuni wasije kuharibu ila mavuno yakitoka ntawaonyesha na namna ya kupata ntawaambia kikubwa tulindane tu maana tunaenda kuharibu ugali wa watu..
Stay tuned.....stay connected.....mambo yote ni hapa hapa.
Unaweza kulete huo uthibitisho??Kuna Hybrid yenye Terminal Gene ?
Iliwezekana miaka nenda rudi kabla miaka ya tisini mwanzoni kuja sasaNaunga mkono hoja!
Shida yangu kubwa ni mbegu za kisasa kutofaa msimu ujao wa kilimo!
Hii ni hatari! Ikitokea tuna acute disruption ya supply chain kama vile vita, basi watu tutakufa njaa!
Labda familia zishauriwe kuwa na plot za mbegu asili na plot kwa ajili ya huo upuuzi wa hybrid kwa ajili ya biashara!
This threat is real!
Safi sana.Imekuwa ni agenda na mpango wa siri ili kuepuka vikwazo vya kimamlaka at early stage ila mpango unaenda sawa na hapa ulipo no turning back. Ni muda sasa tangu mbegu zetu za asili kupotea katika mzunguko baada ya mamlaka kuchezewa akili kwa kujua au kutokujua na kuruhusu wazungu kuteletea mbegu chotara ambazo hizo huzaa mara moja na baada ya hapo ukirudisha iyo mbegu shambani haiwezi tena kuota au wakati mwingine isizae kabisa hivyo wakulima kubaki wakilipa bila msaada.
Huu mpango ulichezwa vizuri na wazungu kuhakikisha wanazipoteza mbegu zetu za asili zilizokuwa zinavumilia ukame, zinatoa mazao mengi na hapo hapo mkulima anaweza chagua mbegu katika hayo mazao ambayo msimu unaofata hurudishwa shambani na kuota tena.
Walituaminisha mbegu zetu ni duni, hazizai ipasavyo, wakatuambia kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani ,mbegu zetu haziwezi kuhimili mabadiliko hayo hivyo mbegu zao (GMO) ndo suluhusho pekee. Wakatufanya watumwa kwa kutegemea mbegu zao, wakatuletea na mbolea zao ambazo bila kutumia hizo hupati mazao, mbolea hizo zikapelekea kuiharibu rutuba ya udongo hivyo tumejikuta tumebaki na ardhi usiyoweza kufanyia kazi bila kuweka mbegu ya mzungu na mbolea ya mzungu.
Wakulima wamebaki maskini wakitegemea mfumo huu ulioandaliwa rasmi kuwafanya watumwa katika ardhi yao wenyewe. Leo mbegu na mbolea hazigusiki, mkulima analia na serikali, serikali inalia na wazungu Ili kupata mbegu na mbolea.
Serikali zetu zimekosa watu wenye maono na upendo halisi kwa nchi yao inafika mahali nchi inauza wananchi wake kwa wazungu kuwafanya watumwa. Wazungu wanakuja na agenda zao za kujinufaisha, viongozi wanasaini mikataba bila kufikiria kwa undani mwisho wa siku wananchi wanabaki stranded kwenye maisha yao.
Nimefanikiwa kuzunguka na kupata mbegu za asili na kwa kuanza nimeotesha ekari 1000 za mahindi, ekari 1000 za maharage na ekari 1000 za alizeti. Nashukuru Mungu zimeota vizuri na wakati wa kuvuna ukifika regardless gharama zote zilizotumika nita package maavuno yote, kwenye mfumo wa 1kg, 5kg, 10kg, 25kg, 50kg na 100kg, lengo ni kuwapatia wakulima mbegu za asili kwa gharama ya shillingi elfu 1000 kwa kilo 1 na nyie mkienda kulima huko, mkivuna muhifadhi mbegu zenu Ili mwakani msirudi tena kutafuta mbegu. Mbegu Hizi zikifanikiwa kuuzwa kwa wakulima million moja naamini baada ya miaka 5 mbegu zetu zitakuwa zimerudi mashambani kwetu. Hii itasaidia kupunguza magonjwa na maradhi yanayosumbua sasa kwenye JAMII zetu yanayosababishwa na kutumia mbegu za GMO ikiwepo kansa na kisukari. Mikakati imeanza na aina tatu ya mbegu ila huku tuendako tunakuja mpaka na mbegu za mbogamboga aina zote zile za asili, migomba, karanga, ufuta, na nyingine nyingi tu ambazo zimepotea hata GenZ hawazijui wala hajawai kuziona.
Watakaoniunga mkono basi twende pamoja na wanaopinga pia subirini matokeo.
Matajiri na supplier wote wa GMO tusichukiane haya ni mapinduzi katika kilimo na hakuna mwingine wa kufanya zaidi yetu wenyewe.
Msiulize mashamba yako wapi maana sitawaambia wahuni wasije kuharibu ila mavuno yakitoka ntawaonyesha na namna ya kupata ntawaambia kikubwa tulindane tu maana tunaenda kuharibu ugali wa watu..
Stay tuned.....stay connected.....mambo yote ni hapa hapa.
Sokoni andika wazi ni mbegu asili ,siyo GMO, kuna kundi linazitafutaNi mpango uliosukwa Ili kuhakikisha tunabaki watumwa kwa namna yoyote Ile ndo maana hapa tulipo tunaona kama ni too late ila everything is possible
Kuna kiulizo mwisho hapo.Unaweza kulete huo uthibitisho??
nakuombea heri,Ukivuna nisanue mkuuu,Imekuwa ni agenda na mpango wa siri ili kuepuka vikwazo vya kimamlaka at early stage ila mpango unaenda sawa na hapa ulipo no turning back. Ni muda sasa tangu mbegu zetu za asili kupotea katika mzunguko baada ya mamlaka kuchezewa akili kwa kujua au kutokujua na kuruhusu wazungu kuteletea mbegu chotara ambazo hizo huzaa mara moja na baada ya hapo ukirudisha iyo mbegu shambani haiwezi tena kuota au wakati mwingine isizae kabisa hivyo wakulima kubaki wakilipa bila msaada.
Huu mpango ulichezwa vizuri na wazungu kuhakikisha wanazipoteza mbegu zetu za asili zilizokuwa zinavumilia ukame, zinatoa mazao mengi na hapo hapo mkulima anaweza chagua mbegu katika hayo mazao ambayo msimu unaofata hurudishwa shambani na kuota tena.
Walituaminisha mbegu zetu ni duni, hazizai ipasavyo, wakatuambia kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani ,mbegu zetu haziwezi kuhimili mabadiliko hayo hivyo mbegu zao (GMO) ndo suluhusho pekee. Wakatufanya watumwa kwa kutegemea mbegu zao, wakatuletea na mbolea zao ambazo bila kutumia hizo hupati mazao, mbolea hizo zikapelekea kuiharibu rutuba ya udongo hivyo tumejikuta tumebaki na ardhi usiyoweza kufanyia kazi bila kuweka mbegu ya mzungu na mbolea ya mzungu.
Wakulima wamebaki maskini wakitegemea mfumo huu ulioandaliwa rasmi kuwafanya watumwa katika ardhi yao wenyewe. Leo mbegu na mbolea hazigusiki, mkulima analia na serikali, serikali inalia na wazungu Ili kupata mbegu na mbolea.
Serikali zetu zimekosa watu wenye maono na upendo halisi kwa nchi yao inafika mahali nchi inauza wananchi wake kwa wazungu kuwafanya watumwa. Wazungu wanakuja na agenda zao za kujinufaisha, viongozi wanasaini mikataba bila kufikiria kwa undani mwisho wa siku wananchi wanabaki stranded kwenye maisha yao.
Nimefanikiwa kuzunguka na kupata mbegu za asili na kwa kuanza nimeotesha ekari 1000 za mahindi, ekari 1000 za maharage na ekari 1000 za alizeti. Nashukuru Mungu zimeota vizuri na wakati wa kuvuna ukifika regardless gharama zote zilizotumika nita package maavuno yote, kwenye mfumo wa 1kg, 5kg, 10kg, 25kg, 50kg na 100kg, lengo ni kuwapatia wakulima mbegu za asili kwa gharama ya shillingi elfu 1000 kwa kilo 1 na nyie mkienda kulima huko, mkivuna muhifadhi mbegu zenu Ili mwakani msirudi tena kutafuta mbegu. Mbegu Hizi zikifanikiwa kuuzwa kwa wakulima million moja naamini baada ya miaka 5 mbegu zetu zitakuwa zimerudi mashambani kwetu. Hii itasaidia kupunguza magonjwa na maradhi yanayosumbua sasa kwenye JAMII zetu yanayosababishwa na kutumia mbegu za GMO ikiwepo kansa na kisukari. Mikakati imeanza na aina tatu ya mbegu ila huku tuendako tunakuja mpaka na mbegu za mbogamboga aina zote zile za asili, migomba, karanga, ufuta, na nyingine nyingi tu ambazo zimepotea hata GenZ hawazijui wala hajawai kuziona.
Watakaoniunga mkono basi twende pamoja na wanaopinga pia subirini matokeo.
Matajiri na supplier wote wa GMO tusichukiane haya ni mapinduzi katika kilimo na hakuna mwingine wa kufanya zaidi yetu wenyewe.
Msiulize mashamba yako wapi maana sitawaambia wahuni wasije kuharibu ila mavuno yakitoka ntawaonyesha na namna ya kupata ntawaambia kikubwa tulindane tu maana tunaenda kuharibu ugali wa watu..
Stay tuned.....stay connected.....mambo yote ni hapa hapa.
Usiwaze kiongozinakuombea heri,Ukivuna nisanue mkuuu,
Sokoni andika wazi ni mbegu asili ,siyo GMO, kuna kundi lina
Mkuu umewahi fanya kwa vitendo kupata jawabu kuwa mbegu ipi inazaa zaidi au unasikiliza stori za mabwanashamba wasiolima waliolishwa theoty za wazungu ?Tatizo nafaka au hayo mazao yakiingia sokoni hakuna mtu atauliza hii ni GMO au hii ni ya asili...
Hawa wakulima wanaotumia GMO wanapata mazao mengi zaidi ndani ya muda mfupi, hawa wenye mbegu za asili wakiona hivyo inabidi na wao watumie GMO kukimbizana na soko na kipato...