Najua Simba hana uwezo wa kumfunga Mazembe

Tushawachoka na ahadi zenu za kimama! Mara ya mwisho tu ulishindwa kumtoa mkeo! Jiangalie babu, utaliwa kiboga mtoto wa kiume unaweka rehani uraia wako kisa hutaki kuishabikia Simba?
 
Najua Simba hana uwezo wa kumfunga Mazembe ikitokea kwa bahati mbaya na hama nchi hii itakuwa aibu kwa dunia nzima.Uongozi wa Jamii Foroum Simba akishinda mnipige ban ya mwaka 1

Bukoba
Mwenzio alisema ataharisha, ingawa uharo wake hatukuuona maana tuliandaa magari yenye maji kusafisha barabara, sasa wewe hata Pass ya kusafiria huna sijaelewa utahamaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu uwezo wa Simba kumfunga TP hana..Mpaka walipo fika Simba tuna sema ahsante kwa kushiriki

Bukoba
 
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Mkuu sisi sio chura sisi tuna support mpira mzuri leo nipo TP timu bora

Bukoba
 
Bora uhame nchi ila usiombe ban niliwahi kumtukana Nandy nikapigwa ban ya siku mbili tu. Mpk kugegeda nilishindwa. Sio poa. Ila Simba anaweza kufa leo.



God's Plan.
Nipo tayari kupigwa ban kama Simba akishinda

Bukoba
 
Ivi unaijua ban vizuri kweli????? Watu walioipata wanajua machungu yake

mungu ibariki Simba
mungu ibariki Tanzania

hatutaki kumuona mtu akiomba msamaha
Mkuu nipo tayari kupigwa ban Simba akishinda

Bukoba
 
Wewe ni mwanaume kweli? Na likitokea vagi nyumbani kwako mkeo anakuita kabisa kulizima kweli.

Dont be afarid of a dog that barks, be afraid of the one that is quite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…