Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuteseki mkuu TP ni bahari SMB ni dimbwi
Mwenzio alisema ataharisha, ingawa uharo wake hatukuuona maana tuliandaa magari yenye maji kusafisha barabara, sasa wewe hata Pass ya kusafiria huna sijaelewa utahamajeNajua Simba hana uwezo wa kumfunga Mazembe ikitokea kwa bahati mbaya na hama nchi hii itakuwa aibu kwa dunia nzima.Uongozi wa Jamii Foroum Simba akishinda mnipige ban ya mwaka 1
Bukoba
Hapana mkuu uwezo wa Simba kumfunga TP hana..Mpaka walipo fika Simba tuna sema ahsante kwa kushirikiBasi mkuu hatutamfunga, tutamwachia atufunge ili usihame nchi,tunaihitaji sana huduma yako kwa maendeleo ya nchi yet mkuu.
Hatutamfunga,ikiwezekana tutamroga mchezaji wowote wa Simba atakayeonekana ana kimbelembele cha kutaka kuwafunga ndugu zetu wa kikongo
Usiipimie Simba mkuu... Utashikwa na kwikwi bureHatuteseki mkuu TP ni bahari SMB ni dimbwi
Bukoba
Mkuu sisi sio chura sisi tuna support mpira mzuri leo nipo TP timu bora[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Hatuwezi kutoa haadi ngumu bila kuwa na uhakika na matokeo Simba 0 TP 3Mnajua kuhangaika mara mseme mtajisaidia mara kuhama nchi haya tukutane baadae matokeo yakitoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja mkuu
Nipo tayari kupigwa ban kama Simba akishindaBora uhame nchi ila usiombe ban niliwahi kumtukana Nandy nikapigwa ban ya siku mbili tu. Mpk kugegeda nilishindwa. Sio poa. Ila Simba anaweza kufa leo.
God's Plan.
Mkuu nipo tayari kupigwa ban Simba akishindaIvi unaijua ban vizuri kweli????? Watu walioipata wanajua machungu yake
mungu ibariki Simba
mungu ibariki Tanzania
hatutaki kumuona mtu akiomba msamaha
Tuko pamoja mkuu
Naama nchi kabla sija amishwa
Itakuwa ndoto
Saa kumi na 12:45 jioni ndio nitajuaHalafu tumechoka kuishi na wanafaki, Jiandae kuhama nchi
Dont be afarid of a dog that barks, be afraid of the one that is quite