Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuuHata kuwaza tu kuwa Simba atashinda ni matumizi mabaya ya akili!!
Sent using Jamii Forums mobile app
AmeenIvi unaijua ban vizuri kweli????? Watu walioipata wanajua machungu yake
mungu ibariki Simba
mungu ibariki Tanzania
hatutaki kumuona mtu akiomba msamaha
Mchawi sio lazima upae na ungo,dua La kuku.Hatuwezi kutoa haadi ngumu bila kuwa na uhakika na matokeo Simba 0 TP 3
Bukoba
Hapana mkuu uwezo wa Simba kumfunga TP hana..Mpaka walipo fika Simba tuna sema ahsante kwa kushiriki
Bukoba
Haitatokea
Mkuu tunafuata uboraMchawi sio lazima upae na ungo,dua La kuku.
IBRAHIM AKILIMALI kwenye ubora wakoNajua Simba hana uwezo wa kumfunga Mazembe ikitokea kwa bahati mbaya na hama nchi hii itakuwa aibu kwa dunia nzima.Uongozi wa Jamii Foroum Simba akishinda mnipige ban ya mwaka 1
Bukoba
Sawa sawaMkuu sisi sio chura sisi tuna support mpira mzuri leo nipo TP timu bora
Bukoba
Weka mke au hauna?Najua Simba hana uwezo wa kumfunga Mazembe ikitokea kwa bahati mbaya na hama nchi hii itakuwa aibu kwa dunia nzima.Uongozi wa Jamii Foroum Simba akishinda mnipige ban ya mwaka 1
Bukoba
Ka unajihamini weka picha yako hapaMkuu nipo tayari kupigwa ban Simba akishinda
Bukoba