mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Mleta mada warala ndio nini? Au ulikua unamaanisha waraka?....kama ni waraka mbona nakala zimeshafika mashuleni? Au we upo nchi gani? Simu yangu ndogo ninge-kuwekea usome
nilimaanisha waraka mkuu! hakuma kitu kama hicho waraka wa mwaka 2013/14? haakuma!
Mkuu umekosea tena hakuma ndio nini au ulimaanisha hakuna?
"To know the enemy is half the victory"
Mkuu umekosea tena hakuma ndio nini au ulimaanisha hakuna?
"To know the enemy is half the victory"
sasa wewe ni mbishi waraka upo mimi mwenyewe nimeusoma lakini mishahara na madaraja yamewekwa kama mapendekezo.Mf wamependekeza walimu wa dip waanze na TGTS E Digree F .Dip sayansi wanaanza na E5, degree sayansi wanaanza na F5.Na madaraja yameongezwa hadi ukomo wa J.sasa sijui mapendekezo haya yatafanyiwa kazi Jamaa anakipaji cha ubishi
Mkuu huo unaouzungumzia sio waraka wa mishahara ni mapendekezo ya miundo ya walimu.sasa wewe ni mbishi waraka upo mimi mwenyewe nimeusoma lakini mishahara na madaraja yamewekwa kama mapendekezo.Mf wamependekeza walimu wa dip waanze na TGTS E Digree F .Dip sayansi wanaanza na E5, degree sayansi wanaanza na F5.Na madaraja yameongezwa hadi ukomo wa J.sasa sijui mapendekezo haya yatafanyiwa kazi lini.
Mleta mada warala ndio nini? Au ulikua unamaanisha waraka?....kama ni waraka mbona nakala zimeshafika mashuleni? Au we upo nchi gani? Simu yangu ndogo ninge-kuwekea usome
sijaelewa kilichoandikwa
Waraka uliotoka ni mapendekezo tu toka wizara ya elimu kwa serikali na serikali imekataa hivyo kuna ongezeko la asilimia 41 la mshahara hiyo corfimed ila kuna posho ya asilimia 20 badi inajadiliwa
LAZIMA UJUE KWAMBA mwisho wa mwez wa saba(7) mshahara mpya shurti utoke...sasa kuna mapendekezo mangapi
LAZIMA UJUE KWAMBA mwisho wa mwez wa saba(7) mshahara mpya shurti utoke...sasa kuna mapendekezo mangapi