Najua warala wa mishahara haupo, niijuavyo JF SI KUKAA MUDA WOTE HADI SASA MWEZI WA 7?

Najua warala wa mishahara haupo, niijuavyo JF SI KUKAA MUDA WOTE HADI SASA MWEZI WA 7?

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
HOTUBA, NA vitu nyeti vya ikulu vianakuja hapa jf, je

ka waraka, yaani kakakaratasi tu kanakoelezea mishahara

kangefichwa hadi sasa? Hakuna waraka wowote, kama sio basi wanakutana

wapange,
 
Nimejaribu kuwasiliana na wadau kadhaa wa elimu, hizo tetesi ni uongo
 
Mleta mada warala ndio nini? Au ulikua unamaanisha waraka?....kama ni waraka mbona nakala zimeshafika mashuleni? Au we upo nchi gani? Simu yangu ndogo ninge-kuwekea usome
 
Mleta mada warala ndio nini? Au ulikua unamaanisha waraka?....kama ni waraka mbona nakala zimeshafika mashuleni? Au we upo nchi gani? Simu yangu ndogo ninge-kuwekea usome

nilimaanisha waraka mkuu! hakuna kitu kama hicho waraka wa mwaka 2013/14? haakuna!
 
kuweni na moyo wa subira kama mlivyo msubiri obama apite.:wink2:
 
Mkuu umekosea tena hakuma ndio nini au ulimaanisha hakuna?

"To know the enemy is half the victory"

mkuu nimecheka sana baada ya kufatilia makosa ya mleta mada na jinsi ulivyomrekebisha. Nimevutiwa sana na umakini wako katika matumizi ya lugha.
 
sasa wewe ni mbishi waraka upo mimi mwenyewe nimeusoma lakini mishahara na madaraja yamewekwa kama mapendekezo.Mf wamependekeza walimu wa dip waanze na TGTS E Digree F .Dip sayansi wanaanza na E5, degree sayansi wanaanza na F5.Na madaraja yameongezwa hadi ukomo wa J.sasa sijui mapendekezo haya yatafanyiwa kazi lini.
 
sasa wewe ni mbishi waraka upo mimi mwenyewe nimeusoma lakini mishahara na madaraja yamewekwa kama mapendekezo.Mf wamependekeza walimu wa dip waanze na TGTS E Digree F .Dip sayansi wanaanza na E5, degree sayansi wanaanza na F5.Na madaraja yameongezwa hadi ukomo wa J.sasa sijui mapendekezo haya yatafanyiwa kazi Jamaa anakipaji cha ubishi
 
sasa wewe ni mbishi waraka upo mimi mwenyewe nimeusoma lakini mishahara na madaraja yamewekwa kama mapendekezo.Mf wamependekeza walimu wa dip waanze na TGTS E Digree F .Dip sayansi wanaanza na E5, degree sayansi wanaanza na F5.Na madaraja yameongezwa hadi ukomo wa J.sasa sijui mapendekezo haya yatafanyiwa kazi lini.
Mkuu huo unaouzungumzia sio waraka wa mishahara ni mapendekezo ya miundo ya walimu.
 
Kwa maana hiyo July Salary haitakuwa na madiliko?
 
Mleta mada warala ndio nini? Au ulikua unamaanisha waraka?....kama ni waraka mbona nakala zimeshafika mashuleni? Au we upo nchi gani? Simu yangu ndogo ninge-kuwekea usome

kaka hebu tumegee kidogo hata utuambie mishahara ikoje.
 
Waraka uliotoka ni mapendekezo tu toka wizara ya elimu kwa serikali na serikali imekataa hivyo kuna ongezeko la asilimia 41 la mshahara hiyo corfimed ila kuna posho ya asilimia 20 badi inajadiliwa
 
Waraka uliotoka ni mapendekezo tu toka wizara ya elimu kwa serikali na serikali imekataa hivyo kuna ongezeko la asilimia 41 la mshahara hiyo corfimed ila kuna posho ya asilimia 20 badi inajadiliwa

LAZIMA UJUE KWAMBA mwisho wa mwez wa saba(7) mshahara mpya shurti utoke...sasa kuna mapendekezo mangapi
 
Back
Top Bottom