sasa wewe ni mbishi waraka upo mimi mwenyewe nimeusoma lakini mishahara na madaraja yamewekwa kama mapendekezo.Mf wamependekeza walimu wa dip waanze na TGTS E Digree F .Dip sayansi wanaanza na E5, degree sayansi wanaanza na F5.Na madaraja yameongezwa hadi ukomo wa J.sasa sijui mapendekezo haya yatafanyiwa kazi lini.